Aliahidi bwana kuba wakati campaign akiwa njiani kuingia jijini Mwz akitokea Musoma .
Odhis *


Wilaya ya Magu imenyang'anywa chanzo cha mapato! Itapumulia mashine!
Magu inapumulia mashine kitambo mwanzo imenyaganywa busega na sasa kisesa, na shuguli kubwa ya kiuchumi hii wilaya iliyokua inaitegeme kuongeza mzunguko wa ela ilikua ni kilimo cha pamba ambacho kimeshakufa kitambo
Hakika wilaya hii itazidi kudumaa, zamani magu ilikua sawa na miji kama Bunda Geita Sengerema Tarime lakini sasa huwezi kuiweka level moja ni hizi miji yahani kwa ufupi hii wilaya inadumaa badala ya kuendelea
Wilaya ya Magu ina bahati mbaya sana, ilimegwa vyanzo vya mapato wakati wa kuunda wilaya ya Busega, sasa hivi tena inamegwa aiseee.Wilaya ya Magu imenyang'anywa chanzo cha mapato! Itapumulia mashine!
Chanzo tafadhali,,Kuipata Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara Imefanyika kama ifuatavyo.
Wilaya ya Misungwi imetoa Kata 04 yaani
1. Kata ya Idetemya
2. Kata ya Usagara
3. Kata ya Fella
4. Kata ya Kanyerere.
Wilaya ya Magu imetoa yaani
1. Kata ya Kisesa
2. Kata ya Bujora
3. Kata ya Bukandwe
4. Kata ya Bujashi
5. Kata ya Mwamanga
6. Kata ya Kongoro
Wilaya ya Ilemela imetoa kata 03 yaani
1. Kata ya Nyamhongolo
2. Kata ya Sangabuye
3. Kata ya Kayenze
Hizo ndizo kata zitakazo unda Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara.
Serikali kuu ndio imetoa pesa za ujenziImeanza lini,, imetangazwa wapi,,
Dukuduku langu ni kuhusu stand mpya ya mabasi Nyamhongoro ambapo halmashauri ya Ilemela imeweka mabilioni pale,, itakuwaje,,?
Pia mheshimiwa alisema akipita basi kikao cha kwanza cha baraza la madiwani wa jiji la Mbeya kiwe kinahusu jinsi ya kugawa jiji hilo kutoa wilaya mbili.
Magu ni wilaya mbovu sijawah ona , watumishi hopeless kabisa, viongozi outdated , ukabila na rushwa iliyokithiriWilaya ya Magu ina bahati mbaya sana, ilimegwa vyanzo vya mapato wakati wa kuunda wilaya ya Busega, sasa hivi tena inamegwa aiseee.
mmmh kayenze ipo igombe kutoka igombe mpaka misungwi unapita nyamagana mbn Nyamagana haijaguswa?Kuipata Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara Imefanyika kama ifuatavyo.
Wilaya ya Misungwi imetoa Kata 04 yaani
1. Kata ya Idetemya
2. Kata ya Usagara
3. Kata ya Fella
4. Kata ya Kanyerere.
Wilaya ya Magu imetoa yaani
1. Kata ya Kisesa
2. Kata ya Bujora
3. Kata ya Bukandwe
4. Kata ya Bujashi
5. Kata ya Mwamanga
6. Kata ya Kongoro
Wilaya ya Ilemela imetoa kata 03 yaani
1. Kata ya Nyamhongolo
2. Kata ya Sangabuye
3. Kata ya Kayenze
Hizo ndizo kata zitakazo unda Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara.
Hakuna kitu kama hicho. Kwa sababu kuna jimbo jingine linaitwa Kisesa huko Meatu. Hivyo hakuwezi kuwa na majimbo mawili yenye majina yanayofanana katika nchi moja. Ndio maana Jimbo tarajiwa likaitwa Usagara.Wilaya mpya ya Itakuwa na Kata kama zilivyo kwenye Jimba la sasa la uchaguxi Kisesa. Hakuna jimbo la Usagara
Misungwi kunyang'anywa Usagara ni kuiua kabisa ila yote heri Usagara haipaswi kubaki Misungwi tena. Its mordenized than Misungwi itself.