Wilaya mpya ya Kisesa-Mwanza

Wilaya mpya ya Kisesa-Mwanza

Mtoa mada kajichanganya. Haelewi alichokiandika. Hajui tofauti ya Jimbo na Wilaya. Kwake Jimbo ni kubwa kuliko Wilaya
Hajajichanganya ni hivi Jina la Wilaya litakua Kisesa, na Jina la Jimbo litakua Usagara, japo Eneo ni hilohilo linalojumuisha Kisesa ,Usagara nk, nk.
 
Hajajichanganya ni hivi Jina la Wilaya litakua Kisesa, na Jina la Jimbo litakua Usagara, japo Eneo ni hilohilo linalojumuisha Kisesa ,Usagara nk, nk.


Yaani una maanisha Wilaya ya Kisesa ina jimbo moja ambalo linaitwa Usagara??

Haiwezekani. Umeona wapi?

Mtoa mada anasema "
Hizo ndizo kata zitakazo unda Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara."

Really?
 
Sasa usagara ina nini zaidi ya round about na kastand kalee!! Sema pana watu watu thats all
Unajua Usagara inajumuisha Nyashishi! Stendi ya Nyashishi ndiyo inaongoza kwa mapato Misungwi. Kuna viwanda, kuna mapato ya samaki kutoka kata jirani ya idetemya, Usagara kama tarafa inahozi pia kivuko cha MV Misungwi na pia Usagara ndiyo kata yenye mwingiliano mkubwa wa watu kuliko kata zote misungwi. Sasa unauliza nini? Nani anatime na round about! Inaingiza mapato?
 
Back
Top Bottom