Uongo mwengine huu,membe hakuwa foreign affairs 2006 wakati Lowassa anaboronga.
Lowassaalimshinikiza msabaha kukiuka taratibu ili Richmond wapewe mkataba.ilipokuja kuthibitika ni kampuni ya mfukoni,Lowassa huyu huyu akamtumia rafiki yake Karamagi kusaini mkataba wa Dowans hotelini London.sasa Karamagi ni mfadhili mkuu na mpambe mkuu wa Lowassa.
Unadhani watanzania wapuuzi kumuita huyu bwana mwizi ba fisadi?hakuna njia nyengine.
Amepata nafasi zaifi ya 1000 kuitetea kakaa kimya kwa kuwa ni mkosefu.
mkuu kimweri acha kukuRUPUKA kujua kitu sio lazima awe waziri wa mambo ya nje kwa kipindi icho.....
pia walioshauri wapewe mkataba ni gorvement negotiating team acha uongo na waziri mkuu hakuingia kwenye gorvement negotiating t... pia njo na video na huo mkataba aliosaini karamagi tukujue kweli kama wewe ni mkweli .. otherwise unakua mwongo mwongo
Wewe unamtetea mwizi kwa kuwa unanufaika na wizi wake, mimi nampinga kwa kuwa nina machungu na nchi yangu. Hatuwezi kufanana. Usipoteze muda na mimi, una watu wengi kweli wa kuwaaminisha Jamaa yenu ni msafi.
Membe wakati wa Richmond alikuwa junior politician. Hizo dili za Richmond alikuwa anazisikia kwenye radio tu, sana sana alikuwa anapita JF asome watu wanatiririka.
Jamaa yenu ilikuwaje alishindwa kuyasema haya yote mnayoyadai Arusha?Alishindwa kwa kuwa Pamoja na usanii wake, hajafikia kiwango cha kudanganya mamilioni ya watanzania kwa mkupuo kwenye live television.Hawezi kuthubutu.Nyie vinyangarakata wake,maskini mmetumwa kusafisha gari la taka. poleni sana.