WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

Uongo mwengine huu,membe hakuwa foreign affairs 2006 wakati Lowassa anaboronga.
Lowassaalimshinikiza msabaha kukiuka taratibu ili Richmond wapewe mkataba.ilipokuja kuthibitika ni kampuni ya mfukoni,Lowassa huyu huyu akamtumia rafiki yake Karamagi kusaini mkataba wa Dowans hotelini London.sasa Karamagi ni mfadhili mkuu na mpambe mkuu wa Lowassa.
Unadhani watanzania wapuuzi kumuita huyu bwana mwizi ba fisadi?hakuna njia nyengine.
Amepata nafasi zaifi ya 1000 kuitetea kakaa kimya kwa kuwa ni mkosefu.

mkuu kimweri acha kukuRUPUKA kujua kitu sio lazima awe waziri wa mambo ya nje kwa kipindi icho.....
pia walioshauri wapewe mkataba ni gorvement negotiating team acha uongo na waziri mkuu hakuingia kwenye gorvement negotiating t... pia njo na video na huo mkataba aliosaini karamagi tukujue kweli kama wewe ni mkweli .. otherwise unakua mwongo mwongo

Wewe unamtetea mwizi kwa kuwa unanufaika na wizi wake, mimi nampinga kwa kuwa nina machungu na nchi yangu. Hatuwezi kufanana. Usipoteze muda na mimi, una watu wengi kweli wa kuwaaminisha Jamaa yenu ni msafi.

Membe wakati wa Richmond alikuwa junior politician. Hizo dili za Richmond alikuwa anazisikia kwenye radio tu, sana sana alikuwa anapita JF asome watu wanatiririka.

Jamaa yenu ilikuwaje alishindwa kuyasema haya yote mnayoyadai Arusha?Alishindwa kwa kuwa Pamoja na usanii wake, hajafikia kiwango cha kudanganya mamilioni ya watanzania kwa mkupuo kwenye live television.Hawezi kuthubutu.Nyie vinyangarakata wake,maskini mmetumwa kusafisha gari la taka. poleni sana.
 
Acha upu.mbavu wewe, unaweza ukanionesha wapi kwenye ripoti ya Richmond imeeleza Msabaha kulazimishwa na Lowassa? wapi kamtaja jina? na je maneno hayo kwa nini hakuyataja kwa kiapo kama ni kweli? tangu lini waziri mkuu akasaini mkataba? jitu jeupe upstairs afu linajifanya linajua, SHAME.

Mweupe wewe ndugu, unayetunga yasiyokuwepo. Hivi hizo senti unazolipwa, unafahamu kuwa hadi Januari zimeshakauka?unarudi kuganga njaa kama ulivyokuwa unaganga zamani?shangazi zako,na wajomba zako wanaendelea kuteseka, kisa mwana uso na haya, uliendekeza tumbo.

Haya maneno unayobwabwaja Jambazi mkuu hajawahi kuthubutu kuyabwabwaja, kwa kuwa hataki kuonekana on record akidanganya uma. Katuma nyie vipaza sauti wake mdanganye kwa ajili yake.

Tumbo kweli halina adabu
 
Nitajie mwizi wa kwanza wa mali za ummma. .. watoto(swali la kuvuka darasa ) ni......
 
Mweupe wewe ndugu, unayetunga yasiyokuwepo. Hivi hizo senti unazolipwa, unafahamu kuwa hadi Januari zimeshakauka?unarudi kuganga njaa kama ulivyokuwa unaganga zamani?shangazi zako,na wajomba zako wanaendelea kuteseka, kisa mwana uso na haya, uliendekeza tumbo.

Haya maneno unayobwabwaja Jambazi mkuu hajawahi kuthubutu kuyabwabwaja, kwa kuwa hataki kuonekana on record akidanganya uma. Katuma nyie vipaza sauti wake mdanganye kwa ajili yake.

Tumbo kweli halina adabu

Dada yangu kama hiyo mimba inakusumbua bora uweke wazi hapa tukutafutie ndimu au limao, huko juu unaeleza Lowassa alimwamuru Karamagi asign mkataba wa Dowans, hivi kweli huoni kama wewe ndo umelipwa ka kahaba kuchafua watu? Lowassa alikuwa na mamlaka gani ya kumwagiza Waziri ilhali ye ni mbunge wa kawaida tu? au unataka kutuaminisha kwamba mpaka leo Lowassa bado ni PM...kula daku ulale upate akili ya kuargue na wenye akili.

Hivi kweli kwa akili yako haya niliyoyaweka hapa chini ni maneno yangu?
 
Attachments

  • 1435869046618.jpg
    1435869046618.jpg
    95.6 KB · Views: 150
Dada yangu kama hiyo mimba inakusumbua bora uweke wazi hapa tukutafutie ndimu au limao, huko juu unaeleza Lowassa alimwamuru Karamagi asign mkataba wa Dowans, hivi kweli huoni kama wewe ndo umelipwa ka kahaba kuchafua watu? Lowassa alikuwa na mamlaka gani ya kumwagiza Waziri ilhali ye ni mbunge wa kawaida tu? au unataka kutuaminisha kwamba mpaka leo Lowassa bado ni PM...kula daku ulale upate akili ya kuargue na wenye akili.

Hivi kweli kwa akili yako haya niliyoyaweka hapa chini ni maneno yangu?

We kweli hamnazo.

Lowasa alikuwa PM wakati sakata la ricmond,Dowans etc.., kwa kuwa umejitoa UFAHAMU ngoja nikuumbue moja kwa moja

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...d-lowassa-karamagi-and-msabaha-wajiuzulu.html

Swahili Time: Lowassa Ajiuzulu Uwaziri Mkuu!!!!

Na Saed Kubenea
MAWAZIRI watatu katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, wanatarajiwa kujiuzulu wakati wowote kutokana na kashfa ya mkataba wa Richmond, MwanaHALISI limedokezwa. Taarifa za kuaminika kutoka serikalini na ndani ya Bunge zinasema mawaziri hao watatu wanatajiuzulu katika kipindi cha mkutano huu wa Bunge. Tayari mmoja wa mawaziri anapitapita miongoni mwa wabunge mjini Dodoma akilalama kuwa ameponzwa na Waziri Mkuu Edward Lowassa. Haijafahamika ni kwa msingi gani. "Ndiyo wapo mawaziri watakaojiuzulu wakati wowote kuanzia sasa. Sifahamu ni lini, lakini ni katika mkutano huu wa Bunge," kimeeleza chanzo cha habari cha gazeti hili. Chanzo hicho kimesema, "Inawezekana wakajiuzulu kabla ya ripoti ya Dk. Mwakyembe (Dk. Harisson Mwakyembe), kuwasilishwa bungeni, au baada ya kuwasilishwa na kujadiliwa. Lakini uhakika ni kwamba watajiuzulu."
Ripoti ya Kamati Teule ya Bunge kuhusu mkataba katiya serikali na kampuni ya kuzalisha umeme ya Richmond, inatarajiwa kuwasilishwa na kujadiliwa katika mkutano wa sasa wa bunge. Taarifa zinasema kujiuzulu kwa mawaziri hao kunafuatia shinikizo kubwa lililotokea ndani ya Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Imeelezwa kuwa baadhi ya wajumbe wa CC, walikuja juu, wakitaja majina na kushinikiza kwamba wote wanaotuhumiwa kwa ufisadi unaohusu Richmond waachie ofisi za umma "na bila mjadala." Imefahamika kwamba wajumbe waliokuwa wakishinikiza waliongozwa na Abdulrahaman Kinana na makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM, John Malecela. Taarifa zinasema walishinikiza kwamba rais Kikwete "awaondoe" mawaziri wake iwapo hawatakubali kujiuzulu kwa hiari. "Mjadala ulikuwa mkali. Rais alikubaliana na hoja za wajumbe. Alisema kila anayetuhumiwa ni vema akaondoka, kabla hajaondolewa," alisema mjumbe mmoja wa CC, akimnukuu Kikwete. Mawaziri wawili wanaotajwa kuwa na uwezekano wa kujiuzulu ni Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi na mtangulizi wake katika wizara hiyohiyo, Dk. Ibrahim Msabaha.
MwanaHALISI halikuweza kupata mara moja jina la waziri wa tatu anayetakiwa kujiuzulu. Dk. Msabaha ambaye sasa ni Waziri wa Afrika Mashariki, anasulubiwa kutokana na mkataba huo kusainiwa wakati wa utawala wake. Dk. Msabaha aliondolewa katika wizara hiyo Oktoba 2006 katika mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri. Karamagi amebanwa ajiuzulu kutokana na tuhuma kwamba aliongeza mkataba wa kampuni ya Dowans, bila kumshirikisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini. Dowans ndiyo iliyonunua mkataba wa Richmond ambapo kama ilivyokuwa kwa dada yake (Richmond), ilishindwa kukamilisha kazi kwa wakati. Wakati mawaziri wanajiandaa kujiuzulu kwa shinikizo, mmoja wa wabunge wa zamani katika CCM anasema kunaweza kuibuka mgogoro mkubwa iwapo mawaziri hao watakataa kushinikizwa na kutaka "waondoke na waliokuwa wakiwatuma." MwanaHALISI inazo taarifa kwamba kuna malalamiko mengi miongoni mwa watuhumiwa ambao wanadai kuwa walikuwa wakipokea amri "kutoka juu" katika kutekeleza mkataba wa serikali na Richmond. "Iwapo watakuwa jasiri na kumtaja huyo aliyeko juu na ambaye alikuwa akiwaamuru au kuwaelekeza, basi watakuwa wamepona na yeye atalazimika kujiuzulu kwa aibu kubwa," kimeeleza chanzo cha gazeti hili.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, mkataba kati ya serikali na Richmond ulisainiwa bila kufuata taratibu, ikiwamo kutofikishwa katika kikao cha makatibu wakuu (AMTC). Kikao hicho kinachokuwa chini ya Katibu Mkuu Kiongozi, ndicho chenye jukumu la kujadili jambo lolote ambalo litatakiwa kufikishwa katika Baraza la Mawaziri. Kutokana na hali hiyo, mkataba wa Richmond haukifikishwa katika kikao cha Baraza la Mawaziri, ambacho mwenyekiti wake ni rais wa Jamhuri.
Vyanzo vyetu vya habari vinasema, mkataba kati ya serikali na Richmond ulijadiliwa na Dk. Msabaha kama waziri mwenye dhamana ya umeme, Waziri wa Fedha, Zakia Meghji na Waziri Mkuu Lowassa. "
Mkataba haukufikishwa katika kamati ya makatibu wakuu. Wala haukufikishwa katika Baraza la Mawaziri," waziri mmoja mwandamizi ndani ya serikali aliliambia MwanaHALISI. Alisema, "Wakati mkataba unasainiwa, rais Jakaya Kikwete alikuwa ziarani Marekani. Aliporudi nchini akakuta tayari kila kitu kimevurugika. Ndipo alipoamua kufuatilia ili kujua ukweli wa suala hili." Bunge katika kikao chake kilichopita, liliunda Kamati teule kuchunguza mkataba kati ya serikali na kampuni Richmond. Kamati hiyo iliongozwa na mbunge wa Kyera (CCM), Dk. Harrison Mwakyembe. Taarifa za ndani ya kamati zinasema, pamoja na mambo mengine, Kamati imeridhika kwamba Richmond haikuwa kampuni yenye hadhi, uwezo, wala heshima ya kupewa kazi iliyoomba.
Inaelezwa kwamba, Kamati ya Bunge, imeridhika kwamba Richmond nchini Marekani, ni kampuni inayojishughulisha na vifaa vya ofisini, wakati nchini Tanzania inajishughulisha na utoaji huduma za intaneti. Mjadala wa Richmond tayari umepamba moto kila pembe ya nchi, huku wabunge waking'ang'ana kutaka kuwatoa macho wote wanaohusika. "Kama mjadala utakuwa umekwenda kwa usawa, hakuna mwenye uhakika wa kubaki. Hata Lowassa, anaweza kung'oka," alisema mbunge mmoja wa CCM. Katika hali inayoashiria kwamba mambo yameiva, mwishoni mwa wiki iliyopita, wabunge waligomea semina iliyoandaliwa na Wizara ya Nishati na Madini kwa ajili ya kuwaelimisha kuhusu muswada wa Sheria ya Umeme na Biashara ya Mafuta ya Petroli. Kwa kauli moja wabunge walishinikiza kwanza waletewe ripoti ya Richmond ili waijadili kabla ya kupitisha mswada huo.
Aidha, wabunge walisikika wakisema kwamba hawana imani na uongozi wa wizara hiyo na Tanesco kwa vile "vimejaa uchafu," na kwamba hawawezi kujadili mambo mengine hadi "wahusika wajisafishe." "Zile za jana (Jumapili iliyopita) zilikuwa salamu za rasharasha. Kazi kamili inakuja wakati wa kuwasilisha hoja. Safari hii hatutaki tena kutumiwa kama mihuri," alisema mbunge mwingine wa CCM, ambaye alitaka jina lake lisitajwe gazetini. Kujiuzulu kwa mawaziri kutapunguza shinikizo la wanachama wa CCM kwa viongozi wakuu wa chama hicho, hasa rais Kikwete ambaye amekuwa akituhumiwa kulinda mawaziri wake walioboronga. Naye mbunge wa Karatu (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akizungumzia mvutano kati ya wabunge wa CCM na mawaziri wao, alisema kwamba kama Karamagi anasoma nyakati alipaswa kujiuzulu mapema. "Kama kujiuzulu, alitakiwa ajiuzulu tangu siku ya semina. Sura za wabunge zilionyesha wazi kuwa hawamtaki," alisema Dk. Slaa.

MKATAMBUGA: Sakata la Richmond: LOWASSA KITANZINI

Hatujasahau UBARADHULI WENU, kama mlifdhania kukaa kimya miaka 7 mje mtulaghai upya ingesaidia, mmenoa.
 
Mi naona wote hamko sahihi na mengi sana hapahapa hayajasemwa. Lowassa kwenye sakata la richmond yuko safi. Aliefanyaa kosa kuu ni mwanasheria wa serikali pamoja na rais mwenyewe. Lowassa aliandika barua kwa mwanasheria wa serikali kuwa ana mashaka na hii kampuni ya richmond lakini mwanasheria mkuu kwenye kikao akasema mzee unaogopa tu mimi nimeshaaichunguza hii kampuni na iko sawa... hakuishia hapo, akawasiliana na mhe rais alikua nje kikazi, na kumueleza swala zima na lilipofikia, mhe rais akamjibu, nimeshauriana na makatibu wangu na washauri wangu hiyo deal iko sawa malizia mchakato wapewe kazi hao richmond. Sasa mkuu wa nchi kasema basi lifanyike ingawa Lowassa alimweleza wazi kuwa sina imani na hii kampuni. Haya hilo likapita na ndo likaja kuletaa shida ila kwasababu na yeye ndo alikua PM na watu wake wa chini pamoja na namba 1 walitoa go ahead, basi ikabidi ajiuzuru. Pia swali lake kuwa kwanini sikuhojiwa na kamati iliyoteuliwa kuchunguza hili swala zima la richmond, kwa kweli hata mimi nilishangaa kwanini kamati haiku muhoji ili na yeye atoe ushahidi wangu.. hapo Sasa ndo nakubali kabisa kuwa namba 1 ndo alikua anahusika kabisa. Na kama Lowassa asingejiuzuru, Leo hii namba 1 asingekua jk. Haya nakuja kwenye hili la escrow, escrow jk aliipanga kwanzia 1994, kuwaleta hawa na kupamba jnsi gani hiyo hela itapigwa. Baaada ya miaka 20 jk akiwa rais Sasa.. watu wale waale kwa majinaa tofauti tu ya kampuni wanakuja kupiga hela ya escrow.. na mpaka Leo zile account za stabic zilizowekewa pesa zimezuiliwa kujulikana. So we can clearly see whose game waas this from the beginning, it's jk's Lowassa alijikuta tu pabaya na kumnusuru namba moja ilibidi atoke. Lakini Sasa kama wabunge hawa hawa ndo walikuwepo wakati wa richmond, wameshindwa nini kuvalia njuga swala la escrow watu Pia wajiuzuru maana it's the same trend of ministries and government official ambao walihusika. ( PM,state attorney, waziri wa nishati, makatibu na wengineo) sadly enough, nothin has been done. This all means namba 1 katumia nguvu na ubabe kama kawaida kuizima na kuamua kuwa itakua aibu tena kwa waaziri wangu mkuu mwingine kuachia ngazi so safari hii kwa sababu namalizia wacha nitumie ubabe wa kulizima hili. And so he did. So honourable lowassa, is clean. Labda kama mnalingine la kudiscuss then bring it here and we discuss.
 
“Mkataba haukufikishwa katika kamati ya makatibu wakuu. Wala haukufikishwa katika Baraza la Mawaziri,” waziri mmoja mwandamizi ndani ya serikali aliliambia MwanaHALISI. Alisema, “Wakati mkataba unasainiwa, rais Jakaya Kikwete alikuwa ziarani Marekani. Aliporudi nchini akakuta tayari kila kitu kimevurugika. Ndipo alipoamua kufuatilia ili kujua ukweli wa suala hili.” Bunge katika kikao chake kilichopita, liliunda Kamati teule kuchunguza mkataba kati ya serikali na kampuni Richmond"
===========
Leteni udhibitisho kuwa huo mkataba ulijadiliwa katika vikao vilivyo tajwa hapo juu. Au vikao hivyo havina haviweki kumbukumbu?
 
Ukiangalia mchakato wa kutafuta wadhamini tu,,, itakuthibitishia kuwa EL ni mtu wa aina gani.
 
duuuh.....!!! Wamerudisha mjadala uleule...!! Anyway naomba JK aseme tamko....!!! uyu Mr coming Presida alijiuzulu kwa kua mchafu au kuwajibika???
 
UONGO.

Lowassa alishiriki kusaini mkataba wa Richmond wakati Raisi hayupo nchini,msipitoshe mambo.ripoti ya Richmond iko wazi na tuliijadili kwa mapana n marefu humu 2008.
Sababu kubwa ya Richmond kumuangukia Lowassa ni yeye kulazimisha msabaha,waziri mhusika kukiuka taratibu za mkataba kusimamiwa na katibu mkuu wa wizara.msabaha alitamka wazi yeye alitolewa kafara na Lowassa.

Danganya hao waliokuja JF mwezi mei.

Unaukumbuka huo uzi mkuu?
 
Mi naona wote hamko sahihi na mengi sana hapahapa hayajasemwa. Lowassa kwenye sakata la richmond yuko safi. Aliefanyaa kosa kuu ni mwanasheria wa serikali pamoja na rais mwenyewe. Lowassa aliandika barua kwa mwanasheria wa serikali kuwa ana mashaka na hii kampuni ya richmond lakini mwanasheria mkuu kwenye kikao akasema mzee unaogopa tu mimi nimeshaaichunguza hii kampuni na iko sawa... hakuishia hapo, akawasiliana na mhe rais alikua nje kikazi, na kumueleza swala zima na lilipofikia, mhe rais akamjibu, nimeshauriana na makatibu wangu na washauri wangu hiyo deal iko sawa malizia mchakato wapewe kazi hao richmond. Sasa mkuu wa nchi kasema basi lifanyike ingawa Lowassa alimweleza wazi kuwa sina imani na hii kampuni. Haya hilo likapita na ndo likaja kuletaa shida ila kwasababu na yeye ndo alikua PM na watu wake wa chini pamoja na namba 1 walitoa go ahead, basi ikabidi ajiuzuru. Pia swali lake kuwa kwanini sikuhojiwa na kamati iliyoteuliwa kuchunguza hili swala zima la richmond, kwa kweli hata mimi nilishangaa kwanini kamati haiku muhoji ili na yeye atoe ushahidi wangu.. hapo Sasa ndo nakubali kabisa kuwa namba 1 ndo alikua anahusika kabisa. Na kama Lowassa asingejiuzuru, Leo hii namba 1 asingekua jk. Haya nakuja kwenye hili la escrow, escrow jk aliipanga kwanzia 1994, kuwaleta hawa na kupamba jnsi gani hiyo hela itapigwa. Baaada ya miaka 20 jk akiwa rais Sasa.. watu wale waale kwa majinaa tofauti tu ya kampuni wanakuja kupiga hela ya escrow.. na mpaka Leo zile account za stabic zilizowekewa pesa zimezuiliwa kujulikana. So we can clearly see whose game waas this from the beginning, it's jk's Lowassa alijikuta tu pabaya na kumnusuru namba moja ilibidi atoke. Lakini Sasa kama wabunge hawa hawa ndo walikuwepo wakati wa richmond, wameshindwa nini kuvalia njuga swala la escrow watu Pia wajiuzuru maana it's the same trend of ministries and government official ambao walihusika. ( PM,state attorney, waziri wa nishati, makatibu na wengineo) sadly enough, nothin has been done. This all means namba 1 katumia nguvu na ubabe kama kawaida kuizima na kuamua kuwa itakua aibu tena kwa waaziri wangu mkuu mwingine kuachia ngazi so safari hii kwa sababu namalizia wacha nitumie ubabe wa kulizima hili. And so he did. So honourable lowassa, is clean. Labda kama mnalingine la kudiscuss then bring it here and we discuss.

Mimi nna chanzo cha uhakika kuwa lowasa alishiriki katika sakata ra Richmond, inaniuma sana Kwani hao mapapa waliachwa na matokeo yake serikali kupitia takukuru wakaanza kuwabughuzi wafanyakazi wa ngazi ya chini
 
“Mkataba haukufikishwa katika kamati ya makatibu wakuu. Wala haukufikishwa katika Baraza la Mawaziri,” waziri mmoja mwandamizi ndani ya serikali aliliambia MwanaHALISI. Alisema, “Wakati mkataba unasainiwa, rais Jakaya Kikwete alikuwa ziarani Marekani. Aliporudi nchini akakuta tayari kila kitu kimevurugika. Ndipo alipoamua kufuatilia ili kujua ukweli wa suala hili.” Bunge katika kikao chake kilichopita, liliunda Kamati teule kuchunguza mkataba kati ya serikali na kampuni Richmond"
===========
Leteni udhibitisho kuwa huo mkataba ulijadiliwa katika vikao vilivyo tajwa hapo juu. Au vikao hivyo havina haviweki kumbukumbu?

Kwa taarifa Kampuni ya Richmond haijaingia mkataba mmoja na serikali imeshapiga dili kabla ya kusanuka hii awamu ya mwisho
 
Huku anachafuliwa huku anatakatishwa wenye uelewa mdogo ni rahisi sana kuwapeleka unavyotaka.
 
Hoja iliyoletwa hapa ni nzito sana huwezi tu kuja na masuala ya makundi! Utakuwa mwananchi wa ajabu sana kuleta mapenzi kwenye ishuz zenye kubeba maslahi ya taifa moja kwa moja namna hii.

Huyu Lowassa, whoever he is, alitakiwa ajibu haya maneno kwanza ndio tuanze kusikiliza anachotaka kuifanyia Tanzania.

Kama wao wakimfumbia macho huko kwenye chama chao watuletee Watanzania tuamue.

Kaka unadhani wote wenye vichwa vikubwa vimebeba ubongo....wengine vichwa vyao vimebeba makamasi tu....
 
Back
Top Bottom