Jenerali Ambamba unasema kweli?Mkuu huyu aliyeleta hii mada ni Membe...
Nyaraka zimetolewa wikileaks, jamaa ame-attach mwishoni au wame-hack website ya wikileaks
Je ni kwa nini hajawekwa mbaroni wakati aakina Mramba wapo ndani?Mkuu umeongea maneno mazito kabisa. Mpaka Sasa naumiza kichwa kufikiria, kuwa nini hasa wazalendo wenzetu kinachowafanya wawe mstari wa mbele kumpigia Chapuo juu ya kashfa zote zinazomkabili.
Ni hii kauli ya maamuzi magumu tu ndio ndio inayowafanya watu wapapatike au kuna kingine?!, kama kuna kingine watuambie wafuasi wake.
Mi mpaka sasa naona anaandamwa na madhambi tu.
Sijaona kitu chochote cha maana alichofanya cha kutufanya sisi Kama wananchi tumpigie chapuo. Ni mtu ambae kwa wenzetu walio serious na mambo yao, alipaswa ama awe Jela au awe keshauwawa.
Wazungu wanaposemaga waafrika tuna matatizo kwenye vichwa vyetu ya kufikiri hata siwalaumu.
Watanzania hawaitaki CCM kuliko wanavyomtaka Magufuli.Waafrika akili zetu tunazijua wenyewe. Hizi ni akili za Waafrika waliosoma kwa ambao hawajasoma, viongozi kwa waongozwa
Tumekuwa chanzo kikuu cha matatizo yetu wenyewe. Tumekuwa chanzo kikuu cha maendeleo yetu duni wenyewe.
Ukitaka kujua sisi akili zetu ni ndogo Hebu angalia wenzetu wanavyo mtaka lowasa kuliko magufuli.
Wanao mtaka lowasa wanasema anafaa kwasababu ni mzur, mahaba, anatoka maeneo ya kwao, Anatoka upinzani na madudu kama hayo.
Lakin hebu angalia. Hivyo ndivyo vigezo sahihi vya kumchagua rais wa nchi? Hatuangalii afya yake kama ataweza kutimiza majukumu yake ipasavyo. Hatuangalii uadilifu wake. Hatuna mtizamo wa kitaifa kwa wengine lengo ni kupata rais kutoka upinzani tu au atokae maeneo ya kwao.
Kwa mwendo huu tu tasubir sana maendeleo ya nchi kama nchi
Waafrika akili zetu tunazijua wenyewe. Hizi ni akili za Waafrika waliosoma kwa ambao hawajasoma, viongozi kwa waongozwa
Tumekuwa chanzo kikuu cha matatizo yetu wenyewe. Tumekuwa chanzo kikuu cha maendeleo yetu duni wenyewe.
Ukitaka kujua sisi akili zetu ni ndogo Hebu angalia wenzetu wanavyo mtaka lowasa kuliko magufuli.
Wanao mtaka lowasa wanasema anafaa kwasababu ni mzur, mahaba, anatoka maeneo ya kwao, Anatoka upinzani na madudu kama hayo.
Lakin hebu angalia. Hivyo ndivyo vigezo sahihi vya kumchagua rais wa nchi? Hatuangalii afya yake kama ataweza kutimiza majukumu yake ipasavyo. Hatuangalii uadilifu wake. Hatuna mtizamo wa kitaifa kwa wengine lengo ni kupata rais kutoka upinzani tu au atokae maeneo ya kwao.
Kwa mwendo huu tu tasubir sana maendeleo ya nchi kama nchi
Duh nchi za wenzetu waliotangulia kuona maendeleo kabla ukiwa fisadi hawana muda wa kucheka na wewe wanakuanika kweupeee sisi huku ukiwa fisadi unatumia fedha ulizonufaikanazo kujisafisha na kufanya kampeni.
Wenzetu China wakikukamata wanakunyonga,Tanzania unakuwa mgombea uRais mwenye nguvu kuliko wenzako wote tena wanajitokeza watu wakubwa,wanene wanakusifia wewe ndio jembe hiyo ndio tofauti na wenzetu.
Kwa uzi huu,Lowasa anatakiwa kujitoa mara moja.Japo mimi nipo na Dr.Slaa mwanzo mwisho,ila sitaki kuona fisadi ikitamba kwa mihela yake.
Lowassa anapaswa kuwa jela.Hata Nyerere alizembea kumtia adabu ya vile viboko 12.
Dunia nzima itatushangaa tukimsafisha Lowassa kirahisi hivi!
Mkuu wangu...Taifa hili ni letu sote na tunajukumu la kulilinda. Natimiza wajibu wangu tu. Lowassa anapima upepo kwa kutuhadaa Watanzania. Hatatuweza.
Na hii ni sehemu moja tu.Sehemu ya pili tutaweka ushahidi namna gani Lowassa amekuwa akitumia pesa kujijengea mizizi ya kisiasa ndani ya kanisa la KKKT. Kwa msio fahamu nickname ya Lowassa katika siasa za kanisa la KKKT ni "Jackson's Child"
Magufuli akigeukia upande huu tusije kulialia
Upuuuz mtupu