Wikiend hii nakuja bongo

mkuu umemade my wekend!Umenikumbusha bwashee jamani acha tu bwana ile asubuhi mchemsho au mtori au ile supu utumbo au kuku jamani zimebakia kuwa enzi zile

Yaani we acha tu. Shule ilikua inanoga sana baada ya kupata mtori uliochanganywa na utumbo. Nimemiss pia kukaa kwenye vile vimbwete pale. Nimemiss na kunawa yale maji ya moto,sometimes tulikua tunaungua sana mikono. Kuna jamaa alinunua chapati roast yake akaweka kwenye kimbwete kisha akaenda kunawa mikono,ile anarudi monkey kabeba chapati ilibaki zogo pale.
 
Ushaingia mujini mkuu? niPM nitakupa directions maana ten years sio kidogo mkuu.
 
saturday nite unaweza kwenda sweet eazy oysterbay mida ya saa 9pm hadi 2am. ukajirushe na Band ya machozi.
 
saturday nite unaweza kwenda sweet eazy oysterbay mida ya saa 9pm hadi 2am. ukajirushe na Band ya machozi.

Asante kwa kunielekeza sehemu hiyo. Jana nilienjoy sana,leo itapendeza nibadili mazingira. Wkend njema Pretty!
 
Wadau baada ya kukaa mkoani for ten years nimeona week end hii nije bongo nibadilishe mazingira kidogo na kuona mapya ya hapo mjini kwetu. Hivi wapi naweza kwenda kula vitu vyangu(kilaji na mchemsho wa samaki/kuku/mbuzi). Ntaingia mujini leo(Ijumaa) jioni, jumapili mchana narudi job mkoani. Nawatakieni week end njema nanyi.

unajua mimi nilidhani unabeba box umeamua kuja dar mara moja!lol
kumbe unatoka sitimbi
 
Ningekukaribisha ila kuna funzo nimelipata humu humu JF. Kuna jamaa alienda huko Mafinga akakaribishwa na kaka wa rafiki yake at the end of the day kammega dada yao pale pale home alipofikia. Wabongo wengine wamepagawa kwelikweli!
hapana bwana wacha woga wewe, mkaribishe jamaa naomba usinifanye kama ni mfano ile ni bahati mbaya tu mkubwa. Umenichekesha kweli mpaka watu wananishangaa nacheka nini
 
hapana bwana wacha woga wewe, mkaribishe jamaa naomba usinifanye kama ni mfano ile ni bahati mbaya tu mkubwa. Umenichekesha kweli mpaka watu wananishangaa nacheka nini

Bahati mbaya gani mkuu mtu umemfuatilia mpaka Morogoro? Unanikumbusha ule wimbo wa Dar mpaka Moro.
 
Ningekukaribisha ila kuna funzo nimelipata humu humu JF. Kuna jamaa alienda huko Mafinga akakaribishwa na kaka wa rafiki yake at the end of the day kammega dada yao pale pale home alipofikia. Wabongo wengine wamepagawa kwelikweli!

Kwa mtazamo wangu, ni huyo dada wa rafiki ndiye aliyemmaindi jamaa, akajirahisisha kwake, ili "amegwe" naye (ingawa sipendi kutumia neno hili....). ashakum si matusi!

./Mwana wa Haki
 
Hapa JF tunajifunza mengi sana. Si uliona ile story ya jamaa aliemega dada wa host wake kule mafinga? Namna hii waweza mkaribisha mtu kwako akammega mkeo bure!!! Wengine tuna wake na hatuna dada wala housegals itakuaje hapo?

Mkuu jibu mbona rahisi sana watu wanamega kilichopo.
Kwani mwizi akikosa alichodhamiria si huwa anaondoka hata na kipande cha mkaa.
 
Kwenye kiti moto wachovu mi niliagiza nikaletewa kitimoto imegeuka kuwa biskuti ngumu balaaa.

Duh nilikuwa sijui hiyo mzee, maana miaka ya 2001 tuliokuwa tunaishi pale maji safari zote za weekend zilikuwa zinaanzia sisimizi
 
labda siku hizi wamekuwa wachovu!ila enzi zile tukiwa pale foe acha kabisa ilikuwa ni kushuka kidogo tu kwa ajili ya kwenda kitimoto cha sisimizi na ice kwa pembeni jaamani acha tu

Yaani baada ya wiki nzima ya kukimbizana na wazee wa workshop wikiendi ilikuwa lazima tujimwage sisimizi kupata mnyama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom