Wiki ya kishindo cha JPM inaanza Desemba 7


Magufuli ni Rais toka lini tena?
 
umhukumu JPM kwa kesi za Kikwete . we subiri uongozimpya uje na yake huko tushaingia cha kike tusahau saiz ngwe mpya
 

mbona unakwepa kutaja RICHMOND?
 
mbona unakwepa kutaja RICHMOND?

Tembo na twiga wananigusa sana..........ninaumia kweli kweli........pale wanapotendewa uharamia........
wacha anaeguswa na richmond aje na yeye atoe dukuduku lake.......
 
usimpriempty wewe.....hataufanyeje JP hatetetereki...atawaibukia tu....Hapa ni kazi Tu.

Maliasili kuna wadudu kibao, wanakula kilakitu, haingii akilini mbuga zote na hifadhi kibao mapato kiduchu achilia mbali Mt Kilimanjaro, mapato ya utalii yanatosha elimu Bure kuanzia uniforms hadi msosi mashuleni, BABA SAFISHA. Nimesahau misitu. Alaaa kwani siye tumelogwa?!!!!!!!!!!???!!!
 
bila shaka nyie ndo walewale vijana wa vidole juu na umbeya usio kifani. mmezoea kufikiria kimakamasikamasi. vichwani mmejazwa mavi badala ya ubongo.

Bongo watu wanaishi kimungumungu tu. Nchi rahis sana kuiongoza ukiwa kiongoz. Siwez amin miaka 10 iliyopita kila kitu kilikuwa sawa tu licha ya utawala wa ngeseki
 

We uko kama mimi mkuu, penye ukweli unasema wazi, penye mazuri pia unasema openly bila mihemuko ya kisiasa

Big up!!
 

Mkuu umesahau na fast jet ya mkwere ichunguzwe hailipi kodi
 

Una akili sana wewe. Watu wamepagawa hawaelewi ni muvi.

Magufuli kama kweli anataka mabandiko arudishe katiba ya Warioba bungeni maana watu wameifanya nchi kuwa kichaka kwa sababu katiba ni mbovu.

Pia hata tukisema andelee, vipi akimaliza muda wake alafu akaja mjinga mmoja kama huyu aliyemaliza muda wake? Mabadiliko yawe kwenye mfumo na siyo hizi filamu
 
Amedhamiria kuanzia tarehe 7...? We kweli unajufurahisha, mtu kaanza kukamua siku ya pili tu alipoapishwa. Au unalenga jiwe kwenye giza sababu unajua lazima tu wiki ijayo kuna jambo jingine litatokea?
 
Jay One nakuunga mkono mia/mia capacity charges zinatuumiza, ni wizi mtupu!!
Bei za umeme zishuke, bei ya kusaga sado ya mahindi automaticaly itashuka!!
Huku Babati BAWASA wanapandisha gharama za maji eti gharama zimepanda ni zipi??
Hawatoi mchanganuo, ni wizi ule ule!!
Mkurugenzi anafukuza machinga standi wanaofukuzana na magari wapate riziki, huko pembeni biskuti na karanga wamuuzie nani??
Hizo by laws zimetungwa na nani hata MADIWANI hawaja apishwa??
 
Last edited by a moderator:

Misitu sio wizara ya m/asili!?
 
kishindo kwako mtoa mada mi mpaka nione PAYE imeshuka kwa mfanyakazi mkate unga sukari vimeshuka bei hapo ntakubali kuwa kishindo wafanyakazi tunalipa kodi kubwa sana bado kila unachonunua unakatwa kodi maisha magumu alafu tunashangilia makontena kukamatwa na watu kufukuzwa kazi makati wakubwa walioshindwa kusimamia nchi wakidunda na kinga du kweli kuwa mtanzania ni maajabu.nchi nyingine mkate ukipanda bei ni mandamano nchi nzima alafu tushadadia nini wakati pombe anatekeleza wajibu wake c ndo kazi iliyompeleka ikulu hebu tufanye kazi kwa bidii maisha yaende
 
Katiba ya nchi yako unaijua, umewahi kuisoma au umeamua kujiandikia ili mradi tu?

Nimejiandikia tu! Then, he really have a hard work to do & long way to go. Najua katiba inawalnda mapapa, na hapa ndipo mkwamo wa JPM unapoanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…