barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Hivi unategemea haya yote ayafanye na kuyatatua ndani ya mwezi mmoja aliokuwa madarakani? Kama ulisikiliza inaugural speech yake, alitoa tamko kuhusu yote hayo kwa ujumla! Labda ubongo wako uliutega kutaka kusikia majina hivyo ukamiss!Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa
1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...
2: ESCROW wezi wana dunda tu
3: Walio uza twiga wako wanatanua..
4: Wauaji wa Tembo wako huru tu
5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn
6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...
7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why
8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote
9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...
10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...
11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... 😨 kwani
hajui jamani..?
12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa😨😠😠
13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII
Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?
Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa

11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... ?-?? kwani
hajui jamani..?
12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa?-???-???-?-???-

mikono namzungushia shangazi yako mke wa mboe ama???Kamanda endelea kuzungusha mikono...
Hivi unategemea haya yote ayafanye na kuyatatua ndani ya mwezi mmoja aliokuwa madarakani? Kama ulisikiliza inaugural speech yake, alitoa tamko kuhusu yote hayo kwa ujumla! Labda ubongo wako uliutega kutaka kusikia majina hivyo ukamiss!
Anataka huyo kigogo wa ufisadi wa tembo na twiga afichuliwe maana wanamjua...sidhani kama anaogopa kitu hapa.Kweli hulewi unaitwa pre eta unataka akupe nini only month one tilion sana acha mahaba ya siasa wewe au unandugu yako kigogo wa ufisadi unajihofu
Ni trailer tu uliyoona, sinema(filamu) yenyewe bado haijaanza.Tumechoka na sinema
Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa
1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...
2: ESCROW wezi wana dunda tu
3: Walio uza twiga wako wanatanua..
4: Wauaji wa Tembo wako huru tu
5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn
6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...
7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why
8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote
9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...
10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...
11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... ?-?? kwani
hajui jamani..?
12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa?-???-???-?-???-
13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII
Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?
Kila mtu ana vipaumbele vyake. Let him work on his priorities.Hakuna kitu........tunaowataka mbona wanakwepwa........sarakasi tu hizi na senema zisizo na mashiko........
akiniletea aliyesafirisha twiga.......na kuua tembo.......ndio nitaona kuna jipya........vinginevyo........ mvinyo ule ule chupa mpya........hatulewi ng'ooooooooooooooo............
Preta hizo ni hasira za mkizi,hayo aliyoyafanya hadi sasa Magufuli ,Lowassa asingefanya hata kwa miaka 10.Wengi wenu hasa watu wa Lowassa kwa sababu zenu binafsi hamuoni kazi anayoifanya Magufuli,poleni raisi ni Magufuli na sote tumuunge mkono,treni ndio ishaondoka hivyoo.Hakuna kitu........tunaowataka mbona wanakwepwa........sarakasi tu hizi na senema zisizo na mashiko........
akiniletea aliyesafirisha twiga.......na kuua tembo.......ndio nitaona kuna jipya........vinginevyo........ mvinyo ule ule chupa mpya........hatulewi ng'ooooooooooooooo............
It took more than 10yrs to cause this damage, you guys need a one-month-fix...! Nchi imejaa mbatata wengi sana hii..Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa
1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...
2: ESCROW wezi wana dunda tu
3: Walio uza twiga wako wanatanua..
4: Wauaji wa Tembo wako huru tu
5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn
6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...
7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why
8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote
9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...
10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...
11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... 😨 kwani
hajui jamani..?
12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa😨😠😠
13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII
Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?
teh teh teh...
Mzma lakin ww?
mi nakumiss kama navomiss mburu ya mromboo

mburu au ikondi lau?
Katiba ya nchi yako unaijua, umewahi kuisoma au umeamua kujiandikia ili mradi tu?Siwezi kutikiswa na kishindo cha kuvamia taasisi zake bila taarifa. Naam, amini amini nawaambieni nitatikiswa pale atakapowakamata BWM & JMK na viongozi wengine wakubwa walioliingiza taifa katika hasara kubwa. Otherwise, aendelee tu na safari yake.
Hakuna kitu........tunaowataka mbona wanakwepwa........sarakasi tu hizi na senema zisizo na mashiko........
akiniletea aliyesafirisha twiga.......na kuua tembo.......ndio nitaona kuna jipya........vinginevyo........ mvinyo ule ule chupa mpya........hatulewi ng'ooooooooooooooo............
Preta hizo ni hasira za mkizi,hayo aliyoyafanya hadi sasa Magufuli ,Lowassa asingefanya hata kwa miaka 10.Wengi wenu hasa watu wa Lowassa kwa sababu zenu binafsi hamuoni kazi anayoifanya Magufuli,poleni raisi ni Magufuli na sote tumuunge mkono,treni ndio ishaondoka hivyoo.