Ukweli silijui lipi sahihi na hilo sijilaumu na laumu mfumo wa elimu,shule ya msingi kiswahili, secondari english,bachalor polish,master kijerumani ,kazi kiswidish mara kinorway mara kibelarusi hapo unadhani nini kitatokeo?
Ukweli silijui lipi sahihi na hilo sijilaumu na laumu mfumo wa elimu,shule ya msingi kiswahili, secondari english,bachalor polish,master kijerumani ,kazi kiswidish mara kinorway mara kibelarusi hapo unadhani nini kitatokeo?
right on... mlaumu mtu mwingine yeyote isipokuwa wewe mwenyewe.
wiki Moja Kabla Ya Kifo Cha Wangwe Habari Ziliingia Kwa Njia Ya Sms Zikiwa Na Ujumbe Uliokuwa Unamaudhui Yafuatayo "tumempoteza Mpambanaji Mwenzetu Zitto"! Ujumbe Huo Ulikuwa Ni Kutaarifu Juu Ya Kifo Cha Zitto Aliyekuwa Safarini Kenya Wakati Huo.
"ka Nzi" Ka Klhn Ambako Hakatii Kanuni Ya Muda Kameweza Kurudi Nyuma Hadi Masaa Machache Baada Ya Zitto Kupanda Ndege Kwenda Kenya; Watu Watatu Walikuwa Wanamfuata. Aligundua Anafuatwa Walipofika Kenya Kwani Watu Hao Walionekana Airport Na Baadaye Hotelini. Na Hata Siku Ya Sms Alipokuwa Mombasa Watu Hao Walionekana Tena. Zitto Aliamini Kuwa Ni Watu Wa Usalama Wa Taifa Letu (siyo Kitu Kigeni Kufuatwa Kama Ulinzi). Hakuna Na Shaka.
Hadi Pale Sms Ilipotumwa Ikiwa Na Taarif Hiyo Na Kwa Hakika Habari Zilikuwa Ziendane Na Ajali. Bahati Nzuri (mbaya Kwao) Ujumbe Ulitumwa Kabla Ya Tukio Na Hivyo Alipopigiwa Simu Kuulizwa Kama Ni Mzima Alishangaa Kuulizwa Kwani Alikuwa Ni Mzima Kabisa. Ndipo Ika "click". Imetonywa Toka Vyanzo Ndani Ya Wana Usalama Kuwa Zitto Alipiga Simu Kuulizia Kama Kuna "tail" Ya Uwt Na Akaambiwa La Hasha Hakukuwa Na Mtu/watu Waliotumwa Na Taasisi Hiyo Kumpatia Ulinzi Au Kumfuatilia.
Mara Moja Mipango Ya Kurudi Tanzania Haraka Ikafanywa Na Kubadilisha Itenerary Yake Kwa Kutumia Kile Ambacho Kinaitwa Kama "diversion Measures" Na Kuweza Kumrudisha Zitto Tanzania Salama Na Kuevade Potential Threat. Mtu Mmoja Aliyeshiriki Katika Kuhahakisha Zitto Anarudi Salama Na Kupewa Ulinzi Alitamka Kwa Uhakika Sana "hawa Jamaa Wanataka Kuua Mtu, Hatujui Ni Nani".
Taarifa Hizi Zilipelekwa Kwa Igp Na Rashid Othman (refer Barua Ya Mnyika). Kiongozi Ambaye Inaonekana Alikuwa The Most Vulnerable. Ni Sawa Na Ndege Aliyepweke Ndiye Mwenye Kupigwa Na Manati! Na Kama Mbugani Ni Mnyama Dhaifu Na Anayeenda Peke Ni Rahisi Kutafunwa Na Simba.
Vyanzo Hivyo Vinanong'oneza Kuwa Ya Zitto Ingekuwa Ni Ajali Iliyotokea Nje Ya Nchi Na Hivyo Almost Impossible To Associate Na Foul Play. Na Kwa Maoni Ya Vyanzo Hivyo Isije Kushangazwa Kuwa Jambo Kama Hilo Linatokea Nje Ya Nchi (hasa Nchi Za Majirani) Na Hivyo Kufanya Uharamia Huo Kwenda Nje Ya Mipaka Yetu.
Nilikuwa Na Maswali Mengine Mengi, Na Ka Nzi Kamepeperuka! And I'm Out!
Na sijui kama huyu anaweza kusimama kama mtetezi wa wadanganyika,he's simply not credible.
Ka Inzi hako wasije wakakimwagia dawa ya Expel kikafa kipatie expel proof MKJJ
Pole Mh. ZK
Hivi Mkuu Tatizo Lako Humo Kichwani Ni Nini Hasa Usaidiwe? Maana Tunajaribu Wee Kukusaidia Hapa Jf, Lakini Huelewi Tu, Dakika Moja Unaoneakan Umeelewa And Then The Next Minute Kama Vile Tulikuwa Tunafundisha Ukuta Vipi?
.....MMKJJ,
1. kutokana na maelezo yako.......ambayo nahisi kwa kiwangi kikubwa kuwa ka-inzi hako ni Zitto mwenyewe......ni kuwa kulikuwa na watu wako targeted......na target moja ikapatikana....moja ika-miss....na zingine sijui ni zipi.......
2......kwa mtu aliye makini.....hakuna kitu kinaitwa Coincidence!!....especially ukiwa ktk system fulani
3. Kwa nini Zitto apige simu UwT kuulizia kama kuna watu wa UwT wanam-tail.....yaani Zitto anafikiri UwT watamjibu ni kweli bwana..........wanaku-tail?.......hii simu imekaa kiajabu ajabu.....no wonder Mkamap anasema anayoyasema
4....huyo mtu anayedaiwa kuhakikisha usalama wa Zitto....sijui na wengine.......mmhhh........inabidi ka-inzi katuelezee zaidi
Mkjj
Ningependa Kuamini Kuwa Haya Yalitokea, Lakini Nashindwa Na Sitaki Kuamini Kuwa Baada Ya Haya Kutokea Chadema Walishindwa Kuweka Ulinzi Sahihi Kwa Japo Wabunge Wao Waliopo Bungeni Kwa Kipindi Cha Japo Mwezi Mmoja.........
ukisikua Upupu Ndio Huu. Kwa Taarifa Yako:
!. Mbunge Ni Wa Wananchi Wote Na Si Chadema Peke Yao. Hii Dhana Ndio Imefanya Wabunga Wa Ccm Kutetea Maslahi Ya Chama Kuliko Taifa.
2. Wananchi Wote Wana Haki Ya Kulindwa Hata Wasio Wabunge Na Hili Ni Jukumu La Kila Anayekabidhiwa Madaraka Ya Kutawala.
3. Serikali Inao Watu Wa Usalama Wanaolipwa Mishahara Inayotokana Na Kodi Za Wananchi Na Hivyo Hii Kazi Haiwezi Ikaachiwa Chadema.
4. Watu Wenye Akili Kama Wewe Ndio Hasa Hamjui Majukumu Ya Serikali Hata Pale Mnapowakabidhi Hiyo Dola Na Ndiyo Maana Tumefikia Hapa.
Sio Lazima Mtu Ukaandika Na Kama Huna Kaa Kimya Kuliko Kuonyesha Uzuzu Kama Huu.
Thanks a lot FMES. I really appreciate your contribution to defend our beloved MP Zitto.
Ukisikua upupu ndio huu. Kwa taarifa yako:
!. Mbunge ni wa wananchi wote na si CHADEMA peke yao. Hii dhana ndio imefanya wabunga wa CCM kutetea maslahi ya chama kuliko Taifa.
2. Wananchi wote wana haki ya kulindwa hata wasio wabunge na hili ni jukumu la kila anayekabidhiwa madaraka ya kutawala.
3. Serikali inao watu wa Usalama wanaolipwa mishahara inayotokana na kodi za wananchi na hivyo hii kazi haiwezi ikaachiwa CHADEMA.
4. Watu wenye akili kama wewe ndio hasa hamjui majukumu ya serikali hata pale mnapowakabidhi hiyo dola na ndiyo maana tumefikia hapa.
Sio lazima mtu ukaandika na kama huna kaa kimya kuliko kuonyesha uzuzu kama huu.
Read my lips No Read between the line.
Usalama wa Taifa umejaa watu wa kila namna kwa hiyo kupiga simu huko UwT kunaweza kuwa na ya maana kuulizia kwenye source zake ndani ya UwT.
Zitto hawezi kuwa nzi.
Kwa sababu Nzi ni nzi kama jina lake lilivyo.
Nzi si mtu wala mtu si nzi.
Hiyo sentensi ya mwisho mbona inapinga ile ya kwanza?
Kama Zitto ndo nzi mwenyewe iweje mwisho aulizwe tena ili atoe maelezo zaidi?
Nafurahi kwamba hata wewe mwenyewe unakubali kwa dhati kwamba Zitto na Ka-nzi ni dunia mbili tofauti.
Halafu Mods naomba kama munaweza mulifuatile tatizo ambalo naona ni la kiufundi ama sijui ni vipi.
Kwasababu ukijaribu kum quote mtu unakuta ni kama ume ji qoute mwenyewe..Mfano ni hapo juu kwa Mag3...Na mimi pia ilikuwa ikinitokea jana...Especially nilipokuwa nikijaribu kum quote huyo Yebo Yebo.