Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,882
- 828,449
Simba katuheshimisha Watanganyika.. Kamnyoa kipara mwarabu. ๐ช๐ฟ๐๐ฟ๐ฅ๐ฅ..!
TAL ni SIMBA kwa alama .. Ni alama Ya uthubutu mkubwa na fearless..
Tumeanza na SIMBA tunamaliza na LISSU๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ
Huko chama chawala uhuni waliofanyiana ngoja tusubiri yajayo