1. Kiafya mbayaa, nimeeng'oa jino jumanne hadi leo maumivu bado.
2. Kimapenzi doing well though distance with my hubby is killing me.
3. Ki JF JF shwari kabisa nimepata elimu, marafiki na burudani.
4. Kifinancially si mbaya vidili dii nilivyopiga last week malipo yamecheua si haba.
5. Kiimani na imani Mungu amenipigania wiko nzima na kunipa pumzi yake hadi leo. Mamshukuru kwa yote.
6. Kisocialization nashukuru wiki hii sijagombana na mtu nawala sijasutwa lool,
Ijumaa njema wana JF wote, mtangulizen Mungu kwa kila mfanyalo ambalo ni la kheri. Nawapenda sana but special salaam kwa wafuatao
AshaDii mekumiss sana dada,
KakaKiiza miss you, ila kule chit chat wasije wakanidunda lol, Babu
DARKCITY busara zako zidumu,
Mutta,
LARA1,
Erickb52 mtoto anakusalimu sana,
Kongosho, @cacio,
Mkirua Bishanga kaka u are not seen nowdays. Km mekusahau nsameheee