Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

Kosa kubwa ni kumzuia mwanamke kusaidia ndugu zake.


Ebu kaa naye uongee naye wewe hadi polisi kwajili ya mchele na vitunguu!!!!!!????
ndugu zake nimewatunza mpaka wamefika chuo,,, kwa pesa yangu bila tatizo lolote mangi.... ningekuwa siwapendi wangeondoka longi,,,, kwa nn aibe nyumbani,,,, kwa ukaribu ni simple,,,,,sivyo udhaniavyo mamngi
 

Hata kama umewasomesha hadi chuo lakini bado unatakiwa kukaa chini na mkeo muangalie mtawasaidiaje waondokane na kuwa tegemezi!
Kama mnaweza kuwatafutia shughuli ya kufanya itakuwa vyema au kibarua!Lakini nina uhakika kwa maelezo unayo yatoa hakuwai kukaa chini na mkeo na mksongea kama marafiki na ukaonesha unaguswa na hilo tatizo!

Hebu tafuta njia nzuri zaidi ya kutatua hili tatizo hii ya kupelekana polisi na shemeji zako+mkeo kwa sababu chakula si afya kwa familia yako!

Hili swala lazima ujaribu kulitatua bila kutumia nguvu maana litaendelea kumuathiri mkeo na hamtakuwa na amani kwenye ndoa yenu!
 

nashukuru kama umeelewa kuna tatizo, tena sio dogo.... but siko tayari kuona my kids wanakuwa bila mama yao...
 

kaka nakushukuru umenena vema....ubarikiwe....ntaufanyia kazi...
 
MO11 hawa wanawake ni janga kila thread humu ndo hawa hawa waliosoma,hawafai kabisa tuwaogope kama ukoma

tuwapige vita kwa mikono na miguu jamaa kagharamia miaka 10 na bado anaendelea kuiba
bado aliwagombanisha na ndugu zake au limbwata
 
Last edited by a moderator:
hiyo ishu haipendezi hata kidogo,hata mimi mwenyew ningemmaind hzo tabia siyo.
 

ndo hivyo yuko selo.....am tired ya hizi shit
 
hujanipata, nimeuliza kama.wewe ni kyasaka labda ndo maana mkeo anafanya hivyo.

Na sikutegemea mwanamke wa kichaga afuje mali zake mwenyewe maana wengi.wao.ni watafutaji.

Na nashangaa kijana wa kichanga(shemeji zako) kukubali kulelewa kwa dada.

Mie nakubali umewafanyia ya kutosha, na haukuwa wajibu wako. Na hata kuwatafutia kazi si wajibu wako. Kama dada yao anataka awalee mwenyewe, period.

Mie mwenyewe nikiamuaga kuwachenjia wanashangaa, siwezi kuvumilia.ujinga kabisa.

kaka mie nipigana kivyangu mpaka hapa nilipo,,,,, usitengeneze hadithi......yes nimefanya kumfundisha adabu,,,,, unaweza kusema chochote ila hutageuza mada,,, karibu
 
tuwapige vita kwa mikono na miguu jamaa kagharamia miaka 10 na bado anaendelea kuiba
bado aliwagombanisha na ndugu zake au limbwata
hapa talaka kiroho safi haiangalii miaka mingapi tumeishi,kwanza mi si miaka 10 tu hata ndani ya mwaka siibiwi
 
Suala dogo kama hili linakushinda hata unamlaza mkeo polisi akiliwa na maafande utasema hakupendi,pumbavu kabisa na inaonyesha usivyo mpenda kwanini usizungumze nae na ujue namna ya kumsaidia kuhudumia wadogo zake.

Mimi ni mwanaume kama wewe ila umenikera sana ungekuwa jirani ningekunyuka makofi kabisa.Wewe ni kiongozi wa familia mwite mkeo kaa nae chini kwa upendo ujue namna ya kumsaidia na sio kukimbilia JF
 
Sidhani kama mke anakatazwa kuwasaidia, lakini sio kwa jasho la mtu mwingine.

Sababu mke ana.kipato, awatunze kwa pesa yake.

Lakini ningekuwa mwanamme, mke wangu angechangia matumizi ya nyumbani hata kwa kuburuzwa mahakamani.

Kuwalea lea kama wajinga ndio wanafikia hapa.

Kosa kubwa ni kumzuia mwanamke kusaidia ndugu zake.


Ebu kaa naye uongee naye wewe hadi polisi kwajili ya mchele na vitunguu!!!!!!????
 

Umebakia wewe na wachache wengine wa mfano, waume wengi yanawakuta haya na bila hata kuelezwa matumizi ya pesa za wenzi wao. Big up!!!
 
hapa talaka kiroho safi haiangalii miaka mingapi tumeishi,kwanza mi si miaka 10 tu hata ndani ya mwaka siibiwi

mkuu talaka tu kama ameambiwa haelewi anaendelea kuiba huyo ni jambazi sugu hafai hata kwa dawa
 
Hahahaha ngoja nicheke kaka kwa sababu Ujasusi wako CIA cha mtoto, pole sana mkuu hawa wanawake waliokanyaga Umande kiasi flan ni kasheshe!
 
Ni malezi jamani, utatumiaje hela ya nyumbani bila maelezo?

Mie hata hg, akiiba moto wake ataushangaa, hata kama ni buku. Aombe hata hela ya.vocha.nitampa kama ninayo.

Kuiba nyumbani ni mwiko na kutumia bila maelezo ni wizi tu. Nashukuru na vijana.wangu wameanza kulielewa hilo, ila stiki zilitembea kidogo.

Ni dharau ya hali ya juu.

Umebakia wewe na wachache wengine wa mfano, waume wengi yanawakuta haya na bila hata kuelezwa matumizi ya pesa za wenzi wao. Big up!!!
 

Naye anafikiri heshima itatafutwa kwa vurugu ,mwanamme akishashindwa kuwa kichwa cha familia ni mvurugano hata kufanya maamuzi kwa busara hakutakuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…