Wife material

Wife material

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
20,155
Reaction score
40,949
Huyu ndio anafaa kuwa mke wa mtu...sio hao wa kudeka deka....
 

Attachments

  • IMG-20150209-WA000.png
    IMG-20150209-WA000.png
    148.6 KB · Views: 1,595
huyu atakuwa mpishi wa mataputapu...

kileji mapipa kama hayo huwa wanatumia kupikia zagazaga...
 
Picha ya my wife wangu mmeitoa wapi? Wekeni za wachumba zenu na nyinyi tuone.
 
Picha ya my wife wangu mmeitoa wapi? Wekeni za wachumba zenu na nyinyi tuone.
Picha ya my wife wako tumeitoa moja kwa moja kutoka eneo lake la kazi..kwa hisani ya watu wa MAREKANI..........
 
Hao ndiyo Mungu aliosema Wasaidizi wa Mwanaume, sio wa kizazi cha dotcom kutwa kuchwa kushinda mitandaoni kupost nyuzi za ajabu ajabu, kupiga picha za utupu,Group chatting na kutafuta mapedeshee mitandaoni.
 
Huyo anakununulia na fegi kabisa, we kazi yako ni kuwatia makofi walevi wanaoleta fujo tu.
Nimecheka sana kwa kweli. Hiyo ipo kuna Grocery bubu moja ubungo mwanamke anauza kuanzia unga, pipi mpaka pombe. Mume anabia 2 zake kila siku, yeye huwa anajichanganya na wateja sasa ole wa mteja umshobokee wife.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom