BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,258
Huyu ndio anafaa kuwa mke wa mtu...sio hao wa kudeka deka....
Unafikiri huyu mama anatokea mkoa gani??? KikulachoChako
Last edited by a moderator:
Huyu ndio anafaa kuwa mke wa mtu...sio hao wa kudeka deka....
Anatokea pale pale kwa mfaranyaki ,nyumbi hii bombi hii........Unafikiri huyu mama anatokea mkoa gani??? KikulachoChako
Anatokea pale pale kwa mfaranyaki ,nyumbi hii bombi hii........
Hapana itakuwa ni chimpumu.......😀nilifikiri anaenda kupika mbege na hilo pipa???
Nikiwa na wife wa hivyo natulia tulii.....huku nikimshukuru muumba kwa kunibariki mke mwema..
pipa la mbege hilo huyo atakuwa wa romboaiseee
pipa la mbege hilo huyo atakuwa wa rombo
Huyo ni mwanamke...wanawake wa dizaini hiyo huwa wanajifungua wenyewe shambani bila mkunga na kurudi na mtoto nyumbani...........
Mahusiano cku iz magumu kwel kila MTU anaomba wife material na husband material ...ila shida ipo pale unapotaka wife material wakat we cyo husband material au wife material... Na cku iz cjui wakaka mmekuaje yan mmekuwa opportunist mno kuliko hata wadada yan it's better ukawa single tu