Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,564
π€£π€£π€£π€£π€£ dahhh!!penzi jipya mjini, bado kuogeshwa tuKwa huyu mrembo niliyempata humu; nathibitisha, humu ndani bado kuna 'wife material'
Mnavyojua tena, sisi wazee mara nyingi huwa tunapenda warembo wachangamfu, wasio umiza vichwa , na wanao jitambua; siku moja wakuu, kuna mrembo mmoja alinivutia sana kutokana na namna anavyojenga hoja hapa jukwaani.
Nikajaribu kumpima kwa akili yangu ndogo, nikaona huyu atanifaa katika kubadilishana mawazo hapa na pale, pamoja na siku moja moja kwenda kutembelea shamba langu la mpunga huko kijijini.
Ikabidi nimfuate ndani ili kuthibitisha upeo wake wa kujenga hoja, kweli alikuwa chwan ''smart'' kichwani. Tukabadilishana abc, na hatimaye ikatulazimu mmoja wetu kusafiri na kumfuata mwenzie.
Kweli sijutii, ni mzuri wa umbo na sura, elimu na upeo wa kufikiri pia uko juu; ama kweli ana-fit kuwa na Equation x.
Akiamka asubuhi, ananipasia nguo, anapika chai, ananinywesha, anafanya usafi wa nyumba, anafua, ananivalia nguo za mitego mitego huku akitabasamu usoni; kwa wiki hizi mbili alizokaa kwangu, nathibitisha huyu ni 'wife material'.
Tumejikuta wote kwa pamoja tumeongezeka mwili na tumeng'ara kutokana na wote kimtazamo kufanana; ni mtu mzima kidogo 40yrs. Amezidi kunipa furaha na thamani zaidi katika haya maisha.
Kuanzia leo nampandisha cheo kutoka kuwa mchepuko na kuwa bi mdogo; hapa nilipo naandaa bajeti ndogo angalau katika sikukuu hizi, tupeane kampani zaidi.
Popote ulipo, jina linaishia na h; Equation x hategemei kukuacha leo wala kesho.
Huo ndio ushuhuda wangu, 'wife material' wapo humu.
Ww si ulisema umeoa.Kwa huyu mrembo niliyempata humu; nathibitisha, humu ndani bado kuna 'wife material'

Kabisa miak 40 na kamvalia kakaangu kimini sio mchezo πππaje nimpe heshimayakeUmpe heshima yake sioπ€£π€£
Niombee basi kwa mod anibadilishie jina bestKama inalipa badili matazamio ya wife material kwa sasa ni majina yanayoishia na h
π mkuu kumbe huyu deborah wangu nisimuache?Wanasema 'sukuma ndani'
Kweli, ila ubunifu muhimuWife material kipaji ndugu
Sio kwa mod nitakuombea kwa Mungu kabisa πNiombee basi kwa mod anibadilishie jina best
Unajua nipo navuta picha hapa.Kabisa miak 40 na kamvalia kakaangu kimini sio mchezo πππaje nimpe heshimayake
Usichimbe sana utaamsha vitu vingine[emoji23]Ww si ulisema umeoa.
Sawa kamanda mkuuNdo maana nikasema unitag[emoji23] sina Imani kabisa[emoji23]
Ameen to thatππ€Sio kwa mod nitakuombea kwa Mungu kabisa π
Huyu anachezaa na akili zenyuuuu.Usichimbe sana utaamsha vitu vingine[emoji23]
Nikitaka kuongeza wa saba, tutafanya usahili π π πEquation x ndio kashaamua kutusagia kunguni tusio na h mwishoni
Au nibadili jina nini? Niwe wife material na mimi, unaonaje?
Sawa best πAmeen to thatππ€
Fanya hivyo best angu
Wa 7??Nikitaka kuongeza wa saba, tutafanya usahili π π π
Vitoto vinasumbua, bora niwe na mzee mwenzangu ππUmpe heshima yake sioπ€£π€£
haohao waliooa utawakuta kwenye nyuzi za masihara, love connect, mikasa ya lodge, na mashangazi[emoji23]Huyu anachezaa na akili zenyuuuu.
Haya mabalaa yatupishe mbaliKwanza utakuaje mwanaume kamili bila kuumwa gono sugu?
Weee Equation x em tuambie wifi yetu anafananaje?ππππAseme tujue tunaanzia wapi
Mamaangu kamzid kidogo wifi nimepata picha umri km wa bi Mkubwa avae kimini πππππ alafu et awe dada nyie ππ
Mungu anisameheπππ
Na golori kuwekwa kwenye kisosiπ€£π€£π€£π€£π€£ dahhh!!penzi jipya mjini, bado kuogeshwa tu