Kwann asiwe msabato mkuu ....???Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu:
Sifa zangu:
Miaka 40
Elimu : shahada ya kwanza
Dini : mkristo ( mkatoliki)
Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali
Location : Dar Es salaam
Mchumba awe angalau na sifa hizi
1. Awe mkristo ispokuwa msabatho
2. Umri kuanzia miaka 30 mpaka 38
3. Kazi awe nayo au asiwe nayo haina shida
4. Elimu walau kidato cha nne
Mengine ni maelewano na kujifunza maana kila kitu kinawezekana
Karibu I
Ongezea hapo no.5,hakuna kushiriki tendo la ndoa mpaka mkishafunga ndoa...Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu:
Sifa zangu:
Miaka 40
Elimu : shahada ya kwanza
Dini : mkristo ( mkatoliki)
Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali
Location : Dar Es salaam
Mchumba awe angalau na sifa hizi
1. Awe mkristo ispokuwa msabatho
2. Umri kuanzia miaka 30 mpaka 38
3. Kazi awe nayo au asiwe nayo haina shida
4. Elimu walau kidato cha nne
Mengine ni maelewano na kujifunza maana kila kitu kinawezekana
Karibu I
1. Awe mkristo ispokuwa msabatho
Utakuwa unapenda kitimoto, siyo bureπHawa Wana masharti magumu sana kuishi nao bado wapo enzi za kutaka kuishi kama wayahudi !
Ahsante mdogo angu, naona umepania ubwabwa wa harusi ya dadaππ
Hawa Wana masharti magumu sana kuishi nao bado wapo enzi za kutaka kuishi kama wayahudi !
Tuliza hilo komwe na miaka yako 27 hiyo arobaini utafikajefikaje..πAhsante mdogo angu, naona umepania ubwabwa wa harusi ya dadaππ
Mbona huna adabu na mama ako mdogo weweπ€Tuliza hilo komwe na miaka yako 27 hiyo arobaini utafikajefikaje..π
Mama mdogo!! Unawazimu wakati mi naweza kukuoa kabisa!Mbona huna adabu na mama ako mdogo weweπ€
Eeh watoto wa siku hizi hamhofii kuwa na masugar mamy, umuoe nani sasa? Dogo jiheshimu.Mama mdogo!! Unawazimu wakati mi naweza kukuoa kabisa!
Sugar sukari uwege na mahela sasa.ππππEeh watoto wa siku hizi hamhofii kuwa na masugar mamy, umuoe nani sasa? Dogo jiheshimu.
π€£π€£ Bladifakini huto tu miaka 27 basi unajiona likubwa kumbe hamna kitu! Sugar mamy au chumvi mamy!Eeh watoto wa siku hizi hamhofii kuwa na masugar mamy, umuoe nani sasa? Dogo jiheshimu.