babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,310
- 20,895
niko bar hapa na mshkaji wangu,kapita kijana wale wa mitaaani kutengeneza kucha,wife wa jamaa yangu kamuita kwa shangwe wee njoo
dogo akaanza mambo yake,mara mguu wa wife wa jamaa aunyanyue aweke begani,mara amtanue mapaja,mara yaani visa tu
huyu kidume ye karelax tu na ndovu yake wakati wife wake anaugulia kwa raha ya kupakwa kucha rangi
sasa hapa huyu kidume akichukuliwa wife na mpaka rangi kucha atalalamika?
Maana huwa inaanza hivi hivi
Mimi nilishapiga marofouk hii habari, huwa nafanya mwenyewe............................vifaa si vinauzwa madukani bana.........
ha ha haa,aisee we roulete mi sina hamu kabisa hapa nilipo nshakamuliwa vya kutosha,halafu wife wa jamaa sio dizaini yangu,we fikiria mke wa mtu anayetembea na jezi ya taifa star mitaani atakuwajeWe sema tu umemtamani wife wa rafiki yako huyo na unamuonea donge mpaka rangi. yaani umepata picha ingekua ni wewe ingekua ndio njia ya kuanza kabisa mambo hapo hapo...
Kweli kabisa..inawezekana..loh!We sema tu umemtamani wife wa rafiki yako huyo na unamuonea donge mpaka rangi. yaani umepata picha ingekua ni wewe ingekua ndio njia ya kuanza kabisa mambo hapo hapo...
Na ajitokeze mmoja aliyewahi kutaka kuvunjiwa heshima na hawa wapaka rangi za kucha..Sio wapaka rangi wote wenye tabia hizo ni baadhi tu,wengi wako kikazi zaidi,isitoshe hata wale wenye tabia hivyo sio kila mwanamke wanamfanyia hivyo,inategemea na ww mwanamke umejiachia kiasi gani,wale wana tabia ya kumsoma mtu kwa kumwangalia machon ukiwa serious na wala hucheki cheki nao wala kupiga story za kijinga nao,wala hawathubutu wanapaka rangi na unaondoka kwa aman ila ukiwachekea tu utashangaa na roho!!!
Kweli kabisa..inawezekana..loh!We sema tu umemtamani wife wa rafiki yako huyo na unamuonea donge mpaka rangi. yaani umepata picha ingekua ni wewe ingekua ndio njia ya kuanza kabisa mambo hapo hapo...
yani ww uko na akili sana mana wa ivi ni wawili tu ktk mia nazani ni ww tu na mchumba wangu mm tuMimi nilishapiga marofouk hii habari, huwa nafanya mwenyewe............................vifaa si vinauzwa madukani bana.........