Wife kanishitaki polisi

Wife kanishitaki polisi

Michosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
662
Reaction score
651
Haya mambo ya haki za wanawake ni tabu tupu, jana nimemchapa kibao wife tumezaa nae mtoto mmoja miaka miwili sasa.

Leo asubuhi kaamka kumbe kaenda polisi kunishitakia jioni hii napata barua ya kwenda kesho polisi sababu ya kumchapa kibao ni maneno yake machafu ya kila mara ambapo nilishamkataza asiwe ananiambia kwani ananikwaza.

Amaniambia maneno machafu ambayo si kweli na zaidi mzee mwenye nyumba maneno hayo alisha mkataza kwani siyo kweli na wala siyo mazuri.

Wadau nishaurini nini nifanye kesho pale polisi na hadi sasa hayupo home na wala sijui yuko wapi.

Je polisi kwa matatizo kama hayo ya ndoa huwa wanasimamia wapi?
 
kama mkeo hakun taratib za kulala mahal fulan bil idhin yako, baada ya kwako kwisha nawe simamia hilo na kam mkeo lazim ajue anaongea nini we ni mme wake xo yuko chin yko wewe ndiyo kichwa,

me nitakapo oa mke wangu awezi kuniita majin ya ajabu lakin wewe unaweza kuwa chanzo auko seriosly, unatakiwa kujieshim kwa kiwang kikubwa ndyo upewe heshim unayotaka pia now dayz watu awapigan ila sio mbay mara moj moj kumkumbusha wew ndyi top
 
michosho

Amekushtakia umemtuma?

maana hilo neno shtakia linamaanisha amekwenda kushtaki kwa niaba yako.
 
Last edited by a moderator:
michosho

Kesi ya kumpiga mke ikifika polisi inashughulikiwa kama kesi nyingine tu za kupiga mke, inategemea mkeo anataka nini akitaka unafungwa ila mara nyingi polisi huwa wanatumia busara tu za kuwasuluhisha ili mkaendelee kuishi.

Kupiga ni kosa,ila mwanamke akikupeleka polisi maana yake hakupendi amekuchoka kwa tabia zako za kumpiga. akili kichwani mwenu wote iwapo wewe utamvumilie mke anayetaka kukufunga au yeye (Mke) aendelee kukuvumilia wewe mpigaji. pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Ushauri huu ufate utakusaidia, katika ndoa kukwaruzana ni jambo ambalo utokea ila la msingi uitaji wawili kukaa na kuyamaliza haswa kwa kuombana msamaha. hivyo basi mpaka mkeo anaenda police hakuna msimamizi wa ndoa? hakuna wazazi? hakuna viongozi wa dini? au kote kaisha shitaki na wewe umeshindikana? hivyo basi kama hakufikiria hivyo muombe msamaha akafute kesi mkaya malize kifamilia. ukiona ame kataa mpaka unaenda sero na wewe ukadhaminiwa na mtu mwingine.

Jitaidi uendeshe kesi na keshi ikiisha kwa njia yoyote bila jitihada zake, kuona wewe ni mzazi mwenzeke, kaka huyo atakuwa siyo mke kibisa tolea mbali taraka haraka sana. hachana nae atakupa zengwe kubwa hata kukupa sumu! narudia kama utamuomba msamaha na kumwambia myamalize kifamilia akagoma, usimuite wife tena. ila kama ameisha kushitaki kwa familia, kwenye dini, na wewe umeshindikana apo inabidi uvune ulicho panda mkuu.

Wanawake ni kweli wanaume tunakosea lakini nawashauri kwenda police iwe ni maamuzi ya mwisho badala ya njia mbadala kushindikana. si vyema kabisa kwenda kumfunga mzazi mwenzio. kumbuka hata kama mtarudiana hilo linaweza kuwa kovu ambalo kutoka moyoni ni gum sana.
 
amediliki kulala nje anamjinga mmoja anamdanganya sasa mkimaliza mpeleke kwao akapumzike atulize mzuka
 
wakuu nashukuru kwa mawazo yenu..ila ikweli hakuna mwanaume mjinga wa kumpiga mke wake bila kosa..jst from no where..ki ukweli alinibore sana...anamatusi na majibu mabaya sana...nimevumilia sana..Nway ngoja niende polisi kujua kpi kitaendelea
 
michosho

nasikitika kukuarifu kuwa huna mke bali unagalasa, nataka nikwambie kwa mwanamke aliyefundwa kwao,kituo cha kwanza anakimbilia kwa kaka yako,dada yako au kwa wazazi wako.kuhusu kupotea kwake nyumbani ninakushauri karipoti polisi.
 
Last edited by a moderator:
wakuu nashukuru kwa mawazo yenu..ila ikweli hakuna mwanaume mjinga wa kumpiga mke wake bila kosa..jst from no where..ki ukweli alinibore sana...anamatusi na majibu mabaya sana...nimevumilia sana..Nway ngoja niende polisi kujua kpi kitaendelea
Mkuu nenda tu polisi na yatakwisha, na muombe samahani tu mkeo.
Ila yakiisha uwe umeweka rohoni kuwa huyo hakufai hata chembe, akikushtaki leo kwa maneno yake machafu baadaye atakuwekea sumu.
Achana naye kungali mapema.
 
michosho
mama mtu anamatusi na ndiye anayeshinda na mtoto nyumbani, sipati picha huyo mtoto atakuwaje? kwa kifupi huna mke, ANAUNDUGU NA FROLA MBASHA? YATAKUTOKEA KAMA YA EMMANUEL MBASHA,WE MG'ANG'ANIE, UNAJUA ANALALA WAPI? MKE WA MTU ALALE NJE? KWELI AMEKUDHARAU!! NA KAMA UTAENDELEA NAE BASI UJIANDAE KUWA EMMANUEL MBASHA.
 
Last edited by a moderator:
wakuu nashukuru kwa mawazo yenu..ila ikweli hakuna mwanaume mjinga wa kumpiga mke wake bila kosa..jst from no where..ki ukweli alinibore sana...anamatusi na majibu mabaya sana...nimevumilia sana..Nway ngoja niende polisi kujua kpi kitaendelea

na wewe kafungue faili police la kumtafuta si umedai home hupo?
 
michosho
Huyo humekosea kumchapa kofi peke yake.
Wanawake wasio na adabu unapiga vizuri sana mpaka nguvu ya kwenda polisi Anakosa.
Mikwaju muhimu sana!
Muulize mama vasco da gamma kitu gani nilimfanya. Yeye mwenyewe katuliaaa!
 
Last edited by a moderator:
hivi inawezekana kujidhamini?endapo polisi wataniweka ndan..?
 
Mke wako akifikia hatua ya kukushitaki polisi kwa kupigwa kofi huyo hafai tena kua mke kwani ameenda ngazi za juu sana anatamani ufungwe na ikishindikana wewe kufungwa anaweza kukuwekea sumu
 
mkuu hayupo hadi sasa..
.
nenda police wewe kafungue faili la kumtafuta mkeo kaseme ukweli toka lini hayupo home watakupa RB kisha kaa kimya ila usibweteke mfuatilie yupo wapi lzm kuna mgoni waki sehemu anajilia papuchi kakamate ugoni
 
"haya mambo ya haki za wanaweke ni tabu tupu....jana nimemchapa kibao wife..tumezaa nae mtoto mmoja miaka miwili sasa..leo asubuh kaamka kumbe kaenda polisi kunishitakia.jioni hii napata barua ya kwenda kesho polisi.sababu ya kumchapa kibao ni maneno yake machafu ya kila mara ambapo nilishamkataza asiwe ananiambia kwan ananikwaza,,mara ooh ww malaya..unatoka na mama mwenye nyumba,,mara mwanae..kitu ambacho si kweli..na zaidi mzee mwenye nyumba maneno hayo alisha mkataza kwan cyo kweli na wala syo mazuri"

wadau nishaurini..nn nifanye kesho pale polisi..na hadi sasa hayupo home na wala sijui yuko wapi.je polisi kwa matatizo km hayo ya ndoa huwa wanasimamia wapi?

Hayatuhusu. This is your private business.
 
Back
Top Bottom