Wife hanijali mimi kabisa wala lolote ninalofanya

Vitu kwa ground hua tofauti. Kama hamna mazoea hayo usiige maisha ya wengine.
 
Kwema wakuu?

Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje, anamuuliza anakula nini na pia amemsisitiza jamaa awahi kurudi home jion.
Huyo mke walikuolea nyumbani?

Au wakati wa uchumba ulizingatia kigezo cha mgegedo tu?

Haya mambo hayafichiki jmn...
 
.............kujali mtu hakulazmishwi, mshukuru Mungu mnapumua hayo mengne n ziada. Kama anafanya kaz za nyumbani na kulea watoto vzur(anafanya majukumu yake ipasavyo) inatosha hayo mengne n kujipa "presha" tu.
Afanye majukumu yake ya nyumbani, akutafute na ww looh! Na ww kwann urud nyumbani usku wa manane, bas uwe unatoa taarfa tu mwenyewe bila kuulizwa. Mtext umuambie "mama naniii leo nitakawia kurejea nyumbani" hvyo yani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom