Wife going out

Da, inategemea na umri, kipindi dam inachemka anaweza kwenda huku moyo unapwita kwa wivu, ila ukishafika miaka ya 55 na kuendelea haina shida ,aende tu.
 
Hapa sasa wewe ndio mwenye kiherehere, ulinzi ninao wa kutosha, wa mlinzi wa walinzi Bwana Yesu.

Hahahaa atoto unanikonga moyo wangu we mtoto wa kike si kwa majibu haya😂😂😂
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa atoto unanikonga moyo wangu we mtoto wa kike si kwa majibu haya😂😂😂

Naomba yule paulo sijui nani nani asione hapo, maana kanikomalia leo eti mimi mkorofi. Alafu nakutafutapo ujue, ngoja nije pm
 
Last edited by a moderator:
Wote wana haki ya kwenda na kutoka usiku as long as hujadanganya unapoenda na mwenzi wako anajua ulipo au shuhuli uloenda kufanya usiku huo.
 
Umenikumbusha mjomba wangu alikuwa anapenda sana kumruhusu wife wake kwenda out peke yake au na dereva !
Kuna siku pale maisha club alikamatwa na polisi akiwa anagegedwa na mzungu kwenye gari. Akasolve hiyo issue kwa kuwatoa maafande. Lakini issue ikavuja kwani baadhi ya wadau waliona.
Kiukweli si jambo la busara kwa mwanamke kutoka out peke yake, au bila mumewe.
Labda mwenye mke hajipendi!
 
You guys are all good, and I think you all wish that could be your lives with your wives (for married ones). Here is reality, she'll go out with friends take some beers and go to dances until that one day you get a gossip of what's teally going down when she's out there... that is when I would like some of you to give answers for this thread, that after the rumors will she still go out? We know men still do.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom