Wife baada ya kuufahamu mchepuko kanipa 'Big up'

Wife baada ya kuufahamu mchepuko kanipa 'Big up'

Mpaka sasa heshima na adabu juu anajaribu kutaka kuniacha ila anajua ndio atampa nafasi yule mzuri ya kuwa na mimi jumla so kila siku yeye kulialia tu. Mara anitaki nikimpotezea anatuma marafiki nimsamehe yaani mwendo ndio huohuo.

Hofu yangu imepungua, inawezeka nae upo kwnye hofu hiyo. Ndo maana nilimtafuna akiwa na bidii sana.
 
Salaam,

Juzi usiku sikulala ni kama nilikesha nambembeleza wife anisamehe kutoka na kusoma sms za malove toka kwa mpango wangu wa kando. Alillia ghafla akanyamaza akaniuliza nakoswa nini kwake, nikamjibu hakuna akauliza tena huo mchepuko una kipi kumzidi mpaka nimsaliti, asije akawa analia kumbe mchepuko wenyewe sura ya kazi ngumu nikamjibu ni wa kawaida tu, ila moyoni najua ni mkali kumzidi.

Akaniambia nikitaka suluhu basi auone na niuambie mbele yake kwamba its over btn us. Nilibisha bisha at last coz i love my wife nikaona isiwe tabu let me rescure our marriage. Jana asubuhi nikaupigia simu chini ya usimazi wa wife on loud speaker nikaumba tuonane Samaki Samaki ya Zanaki jioni mida ya kumi na mbili. Mida ya 11:30 jioni, i and wife tulikuwa pale niliagiza supu lakini sikuwa na hamu nayo, nilikuwa nawaza reaction za wife mtanange utakapoanza.

Ndani ya fikira hizo mara mlengwa huyo akaingia wife ndio alikuwa wa kwanza kumuona akaniuliza ndie? Nikamjibu kwa kichwa tu huku mapigo yangu ya moyo yakiwa 200 kwa dakika, mate mdomoni yalinikauka. Mrembo alikuja straight kwangu akiwa na smile la haja, mie hata sikutaka kumwangalia usoni. Kifupi ni mzuri na figure yake siyakitoto type Irine Uwoya. Nikajua nimekwisha. Cha kushangaza wife akainuka akaniambia nimsalie mchepuko then nimfuate pale kwenye lift. Nikabaki nashangaa kweli nikaupa hi na hug bubu nilimwomba akae nakuja, then nikamfuata wife.

Kufika nakuta anasmile, akaniambia we mshenzi unajua kuopoa, ulimpata wapi huyu? Kabla sijamjibu akaniambia alimwacha chuo na enzi hizo alikua within top five hotiest girl in the college.Kwa kunishanga zaidi akanimbia unabahati nimemkubali, panda lift tuondoke akachukua simu yangu akampigia mchepuko akamwambia asinitafute tena. Usiku wa kuamkia leo nilikua honey moon nimepewa malove firstgrade.

Kumbe mchepuko akiwa mkali kesi inapata natural death? Au timbiwili bado?

Nawakilisha

Mkeo nae anamchepuko
 
Ila usije kumtoa ngeu tu akikuonesha vdeo mchepuko wake unamtia vzur kushinda unavyomsugua wewe... Inaitwa kuwa mpole

Ebana eeh hapo kwenye haki huwa mpaka ana zimia kwa utam, kama atakuwepo mkali kunizidi labda awe anakufa kabisa, kwa hili shaka ondoa.
 
Bado zamu yako sasa

Labda zamu ya kunifumania navyogonga bia, she is very innocent ndo maana nampenda wife.

Naanza kupata tafsiri ya maamuzi yake, unajua huyu wife wangu ni mshika maadili sana. Hana makuu mpaka kunawakati nilikuwa najilaumu sana kwa tabia yangu ya usaliti na mtungi. Lakini ananivumilia tu. Aisee nimkosea sana Mungu na yeye. Wanisamehe bure.
 
Wife wako kilaza

Futa kauli yako. Mtu amenisamehe bure unawezaje kumuita kilaza!

Amekubali selection yangu (pamoja na kuibwaga nikiboko haswa)

Which means ameiona grade ya competitors wake kwangu so ameijua value yangu bado unamuita kilaza!

Umemkosea sana, nimeumia sana na sasa unatakiwa kuwaomba radhi wanawake wanao samehe kosa hili,
 
Subiri nawe siku atakapokuita ukam'thaminishe' mume mwenzio...
 
Aliyekufundisha hiyo hadithi alikwambia ina maana gani? Na inafundisha nini?
Nenda kaiuze kwenye Magazeti ya Udaku
 
Kwa msamaha wa aina hii hawa wanajuana alijua akiamsha utapata data zake nying za chuon hapo wamemaliza wenyewe pasi na wewe kujua,hawa viumbe wanaakili mno
 
Kwa msamaha wa aina hii hawa wanajuana alijua akiamsha utapata data zake nying za chuon hapo wamemaliza wenyewe pasi na wewe kujua,hawa viumbe wanaakili mno
 
Kwa msamaha wa aina hii hawa wanajuana alijua akiamsha utapata data zake nying za chuon hapo wamemaliza wenyewe pasi na wewe kujua,hawa viumbe wanaakili mno
 
Back
Top Bottom