Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,026
Kwa asili mwanamke huwa hasamehi hadi na yeye afanye kama ulivyofanya....lakini pia yapasa uwaze nje ya box,je ni kwel alimsifia huyo mwanamke kuwa ni mrembo kwel,
au ni ile habar ya wakat wanasoma huyo mke wako alikuwa na mienendo mibaya au alipata scandal mbaya kwa hiyo akaona kama wakiendelea kukaa pamoja huyo mchepuko wako angemkumbuka huyo mkeo na pengine siri ingefichuka??!fikiria nje ya box,usiuamini hata kidgo msamaha wa mkeo
Kweli Mkuu maanaHizi stori zimezidi sasaMods msiruhusu uongo wa namna hii tena.
Daa! Mkeo anaakili saana! Yaani hapo ni kama pale unapotuma dadaako na akakubali kukuunganishie msichana, hutakiwi kushangaa siku ukimuona na amejiachia na mchizi wake! So wewe subiria what we call "KARMA" ie What goes around...