hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
Ubazazi kumbe ni ...............
Ukitaka kuchepuka chepuka na anayemzidi wife wako uzuri mara kadhaa!
Jamaa yangu alifumaniwa na ki mchepuko kibovu alisikilizia!
Mwanamke mwenyewe mbovu kama nini halafu unasema una mpango wa kando!!!?
subiri na wewe kuletewa handsome! nikwambie kitu..ukiona unachepuka na mkeo ha-mind kiviiiiile....ujue naye anachepuka, ndo maana humuumizi kichwa kivile! coz ana pa kupeleka stress zake
Kuna ukweli fulani hapo. But mwisho wa sku naungana na Kibonde kubaki njia kuu.
Mkeo hajiamini na hajakomaa kiakili, sidhan kwa mwanamke mwenye akili timamu anaweza kukupongeza kwa hilo.
Pili nawe kama unaona huyo mchepuko wako ni mzuri kwanin usingemuoa umuweke ndani uone kama ndoa ni uzuri wa mwanamke au upendo .
Ushauri wangu, acha uhuni uneshaamua kuoa means uliona unaweza kuwa mume wa mmoja tulia na mkeo ndoa iwe na amani, mkeo nae akianza kukuoneshea ma handsome guys sijui kama utampongeza.
You have cynical attitude na hii ni mbaya kuliko mental disorder. Amini watu
wife kweli wakionaga mchepuko mkali zaidi yao hunyweaga!
khaa!! kijana umemuharibu mkeo. huyo ataendelea kuwa nawe kwa sababu za maslahi zaidi na siku atakapopata hayo maslahi sehemu nyingine ataondoka bila kuaga. Nani kakwambia mwanaume hukiri kuchepuka mbele ya mkewe? hata yeye kakuona dhaifu. Unajua adhabu ya kuchepuka? Tena kwa txt message tu unakiri? Inatakiwa unakomaa kukataa kosa hata kama akikukuta juu jaribu hata kutafuta njia ya kukwepa kosa. tumia akili bana hawa mwalimu wao kipofu:glasses-nerdy:hii ni ngumu niko vizuri..