Wife baada ya kuufahamu mchepuko kanipa 'Big up'

Wife baada ya kuufahamu mchepuko kanipa 'Big up'

Ulaini enzi hizooo sa hv mambo sawa sawa... Ss jiulize akiamua tu kukufanyia movie akaondoka unaulizwa kisingizio mchepuko kha"

Badilika km kweli umetambua kosa lako na km huwez muacha mchepuko kuwa unafuta mambo zako asigundue..

mchepuko nimetupa kule but yule dada ni mkali aisee
 
mie niliambiwa ukipata mchepuko wa kizungu opoa tu, wa kiswazi noma wanaloga balaa wanalaza nyama ukeni ukiila tu umekwisha ndoa taabani.
 
hizi ndoa za siku hizi....bongo movie afadhali...!!
 
Naunga mkono hoja.
Dem wangu ni wa kawaida tu afu alikua anatabia ya kunata kujiona yeye classic siku nilipoboreka na kero zake nikamtumia picha za mchepuko kwa wasap ambae alikua anamjua kwa jina tu baada ya kumuona heshima imerudi. Kamzidi uzuri mpaka na elimu
 
Naanza kupata uzoefu, baadae kesi iliishaje?
 
Naanza kupata uzoefu, baadae kesi iliishaje?

Mpaka sasa heshima na adabu juu anajaribu kutaka kuniacha ila anajua ndio atampa nafasi yule mzuri ya kuwa na mimi jumla so kila siku yeye kulialia tu. Mara anitaki nikimpotezea anatuma marafiki nimsamehe yaani mwendo ndio huohuo.
 
Ila usije kumtoa ngeu tu akikuonesha vdeo mchepuko wake unamtia vzur kushinda unavyomsugua wewe... Inaitwa kuwa mpole
 
SIKU ZOTE "UKILA VYA WENZIO NA VYA KWAKO VITALIWA&UZINZ NI DEN" MEANS; "HAPO WW UMEKOPESHWA JIANDAE KULIPA. (Nawasilisha)
 
Back
Top Bottom