uzinzi nimeacha mkuu na kesho naenda church kujitakasa.
mafuta ya taa nayo si nilisikia yanaondoa sumu au?
salaam
Kufika nakuta anasmile, akaniambia we mshenzi unajua kuopoa, ulimpata wapi huyu? Kabla sijamjibu akaniambia alimwacha chuo na enzi hizo alikua within top five hotiest girl in the college.
Kwa kunishanga zaidi akanimbia unabahati nimemkubali, panda lift tuondoke akachukua simu yangu akampigia mchepuko akamwambia asinitafute tena.
Usiku wa kuamkia leo nilikua honey moon nimepewa malove firstgrade.
Kumbe mchepuko akiwa mkali kesi inapata natural death!? Au timbili bado?
Nawakilisha