Wife baada ya kuufahamu mchepuko kanipa 'Big up'

Wife baada ya kuufahamu mchepuko kanipa 'Big up'

Hapo ujue wife wako naye anaenda kugongwa tena hata usivyopewa wewe atapewa mchepuko. Jiandae kupata kuzimia kwani na yeye atakuoneshea tu.
 
Huyo mke nae lazima anatafunwa nje sio bure, na jamaa anaemla ni HB zaidi yako, ipo cku atskukutanisha makusudi ingawa unaweza usijue kitu!
 
Huyo mke nae lazima anatafunwa nje sio bure, na jamaa anaemla ni HB zaidi yako, ipo cku atskukutanisha makusudi ingawa unaweza usijue kitu!

Namuamini hana historia chafu kama yangu.
 
Muandiko wako mzuuuuuri, kanunue daftari la mistari mikubwa na midogo uandike stori nyingine!
 
Hahahhahahahahha.....nimecheka kwa sauti hapa ila na wewe jiandae kumsifia mume mwezio
 
Huyo ni mwanamke wa wapi? Tena akiona amezidiwa uzuri ndo hasira zinadouble
 
Kwa kusema hivyo ujue na yeye yupo anayemkubali. siku utaoneshwa nawewe na atakuwa mkali zaidi yako. Siji utarusha ngumi.
 
wife kweli wakionaga mchepuko mkali zaidi yao hunyweaga!
 
Kivipi mkuu fafanua!

Kwa asili mwanamke huwa hasamehi hadi na yeye afanye kama ulivyofanya....lakini pia yapasa uwaze nje ya box,je ni kwel alimsifia huyo mwanamke kuwa ni mrembo kwel,au ni ile habar ya wakat wanasoma huyo mke wako alikuwa na mienendo mibaya au alipata scandal mbaya kwa hiyo akaona kama wakiendelea kukaa pamoja huyo mchepuko wako angemkumbuka huyo mkeo na pengine siri ingefichuka??!fikiria nje ya box,usiuamini hata kidgo msamaha wa mkeo
 
Ogopa sn huyo mke wako, there s a big thing kaplan. Then yu wont believe t. atapofanya kitu cha hatari.. Unawajua wanawake ww, unawasikia!! unataka kusema hana wivu! eeh we subiria show yako, cku yoyote icyo na jina.. Uache kabsa huo mchepuko maana una face hatar mbeleni.!!

Tena abadili mwendo wake remarkably else atakiona cha mtema kuni....
 
Back
Top Bottom