Wife and husband to be...

Wife and husband to be...

Ndoa hua tamu endapo utampata wa kushabiana nae kwa % kubwa. Mkisikilizana na kuelewana na wote kua na hofu ya Mungu mtaitengeneza ndoa nzuri.
 
Miaka 5 uchumba? OMG.

Hao wanawake wa kuwakalisha miaka 5 ya uchumba wapo wapi?
 
Ndio ni mkataba wa milele hasa kwa wakristo kwahiyo usikurupuke kungia kwenye huo uhusiano kama hujamfahamu mwenza wako vema, na kumfahamu vema inahitaji si chini ya miaka mitatu mpaka 5, na bado utakuwa hujawafahamu yote mpaka muoane mzae watoto muwe na majukumu ya kulea na kusaidia ndugu wa pande zote

Sio mkataba wa milele mkuu....ni mkataba wa maisha
 
Urefu wa uchumba hauna uhusiano na uimara wa ndoa,kuna waliokaa miaka ya uchumba na ndoa haikufikiwa na kuna uchumba wa miezi na ndoa zikawa imara!!
Cha msingi ukijiridhisha kuwa huyo ndie hasa anayekufaa then go for it.
Hakuna rule of thumb.
 
Uchumba ukiwa wa mda mrefu sana sio mzuri,at least miaka mi3.Kuna ile mtu unavalishwa engagement ring mpka unasaau alie kuvalisha.
 
Hakuna formula ya uchumba ukae muda gani inategemea na mazingira ya hao wawili, urefu au ufupi wa muda wa uchumba haumaanishi kwamba ndio uimara wa ndoa. Kuna waliokaa ndani ya uchumba kwa mienzi mitatu na kuoana na bado wanaendelea vyema wakati wengine wamekaa miaka mitano uchumbani na baada ya kuoaona mambo yakabadilika, vile vile kinyume cha hayo.

Cha muhimu ni kumwomba Mungu akupe mke/mme mwema. Na sio kumwomba mungu tu bali ni kumwamini. Kama umemwomba Mungu na kumwamini kwa nini uchukue muda mrefu kumchunguza mtu.
 
Urefu wa uchumba hauna uhusiano na uimara wa ndoa,kuna waliokaa miaka ya uchumba na ndoa haikufikiwa na kuna uchumba wa miezi na ndoa zikawa imara!!
Cha msingi ukijiridhisha kuwa huyo ndie hasa anayekufaa then go for it.
Hakuna rule of thumb.

Nimekupenda bure kwa comment yako nzuri
 
Tunaoa Na kuolewa Na watu ambao wameumizwa Sana kihisia, upendo wa dhati haupo tena..kweli uchumba wa miaka tisa then kutosana, wategemea hisia zibaki vile vile..??
 
Uchumba ukiwa wa mda mrefu sana sio mzuri,at least miaka mi3.Kuna ile mtu unavalishwa engagement ring mpka unasaau alie kuvalisha.

AT LEAST 3yrs??
AT MOST:.....???

Uchumba wa miaka mitatu siutaki, it's too much!!
 
Unataka mwaka mmoja?

Kama nimenuia kuingia kwenye hii "game" basi ndani ya miaka miwili niwe nimemaliza kila kitu...urafiki, urafiki wa kawaida, urafiki wa karibu, uchimba Na hatimaye ndoa..miaka miwili tu..
 
Kama nimenuia kuingia kwenye hii "game" basi ndani ya miaka miwili niwe nimemaliza kila kitu...urafiki, urafiki wa kawaida, urafiki wa karibu, uchimba Na hatimaye ndoa..miaka miwili tu..

Fine,.Inategemeana na aina ya uyo mchumba na upendo wake kwako.
 
Back
Top Bottom