Porojo za Gachagua hizo, mbona hakusema mbele?
All is possible! Why Rais anakuwa na ukaribu na internationally known "jizi"....Porojo za Gachagua hizo, mbona hakusema mbele?
kwamba RigGy nae anaskizwa na kuaminika kweli?Gachahua ajitoa mhanga. Chivayo amekufa na Ksh 1.5 Trillion za Ruto
Yatakuja mengi, muda utaongea

Ni ngumu sana kumiliki Trilioni 25 kwa Rais wa Kenya. Labda kama alitoa pesa za serikali.Porojo za Gachagua hizo, mbona hakusema mbele?
Dangote tajiri mweusi namba moja duniani anaingia ikulu kwa heshima lakini Lichivayo linatanua ikulu likiwa kwenye simu mpaka linamkumbatia mama yetu tena akiwa kajifunga kanga jicho limemlegea. Kuna kitu hakikuwa/hakiko sawa!Huyu jamaa kibonge aliyefariki siku si nyingi ukiwa na akili kidogo tu utagundua ana mambo/mipango isiyo ya kawaida na viongozi wa Afrika.
We mtu anakuja ikulu anajiachia kwenye makochi kama kwake linamkumbatia Samia linavyotaka.
Hapo lazima ujiulize kuna issue gani inaendelea kati yao?
Mambo hayako wazi.
Kama anakuja kibiashara na biashara zipi?mbona haziwekwi wazi.
Lazima kuna vitu vya ajabu lilikuwa linashiriki na viongozi wetu.
Ile risala yake ya maombolezo ilikuwa na kilio cha mtonyo kwenda na maji 😂Hata huku kuna jitu limesha lizwa, tutajua baadae 🤭🤣🤣
2.5 not 25Ni ngumu sana kumiliki Trilioni 25 kwa Rais wa Kenya. Labda kama alitoa pesa za serikali.
Wenyewe wanasema " gudubai " 🤭🤣🤣🤣 jamaa amebadili jina sijui kaenda ishi wapiIle risala yake ya maombolezo ilikuwa na kilio cha mtonyo kwenda na maji 😂
SwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahWenyewe wanasema " gudubai " 🤭🤣🤣🤣 jamaa amebadili jina sijui kaenda ishi wapi
Anasema ni mjasiriamali 🤭🤣Swaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
Kekundu Kekundu 🎶
Mjini shule 😂
Jamaa kama kweli atakuwa amesepa na pesa za wajinga, a bc unyama sana akili mingi 😂Anasema ni mjasiriamali 🤭🤣
Naamini hivyoJamaa kama kweli atakuwa amesepa na pesa za wajinga, a bc unyama sana akili mingi 😂