Tetesi: Wiçknell Chivayo na Kasongo money deals

Tetesi: Wiçknell Chivayo na Kasongo money deals

Uyo mwamba Gachagua uwenda ndio Rais mpya wa Kenya Uchaguzi ujao!

Rutto hawezi kutoboa mbele ya Gachagua ✍️
 
Mtu yoyote anayeamini Ruto ana ksh 1.5 Trilion ama kuna mkenya yoyote mwenye hio hela anatakiwa akachunguzwe akili.
Wewe ndio umenielewa kabisa. Trilioni 1.5 za Kenya huku Tanzania ni Trilioni 25. Sasa ni kweli Ruto anamiliki Trilioni 25?
 
Wewe ndio umenielewa kabisa. Trilioni 1.5 za Kenya huku Tanzania ni Trilioni 25. Sasa ni kweli Ruto anamiliki Trilioni 25?
Aliyekua msaidizi wake, swahiba wake ina maana hajui anachokisema?
 
Mwajuma utakuwa mzaramo
Kwa hio unaamini Ruto kampa hela MTU na thamani ya hiyo hela ni kubwa kuliko Mo, Bakhresa, Rostam, GSM, Mengi, Manji na hata nusu ya hela haijafika?

Hio hela ni Sawa na nusu ya bajeti ya Tanzania, na zaidi ya theluthi ya bajeti ya Kenya, fikiria kila mshahara unaolipwa, kila barabara inayojengwa, kila V8 linalotembea barabarani, activities zote za Serikali mwaka mzima Ruto anayo hiyo hela kampa MTU, sijui utahitaji kuwa kilaza kiasi gani kuamini hili.
 
Lolote lawezakana kwa sababu mahusiano na chiva hayakuwekwa wazi uku utajiri wa chiva ukitisha.pia Rig G ni politician he can potray whater gives him credit heading to genarsl election
 
Wewe ndio umenielewa kabisa. Trilioni 1.5 za Kenya huku Tanzania ni Trilioni 25. Sasa ni kweli Ruto anamiliki Trilioni 25?
Si Ruto Tu hakuna individual yoyote anamiliki hio hela Ukanda wetu huu, MTU Ukitoa hio hela public Una crash market yote na kunatokea mfumuko wa bei ambao unachukua miaka mingi kusolve.
 
Si Ruto Tu hakuna individual yoyote anamiliki hio hela Ukanda wetu huu, MTU Ukitoa hio hela public Una crash market yote na kunatokea mfumuko wa bei ambao unachukua miaka mingi kusolve.
atakaye amini hiyo propaganda ya righati gachagua apimwe akili kabisa

upo sahihi kabisa

gachagua kuapa tuuu alikuwa anakosea kusoma
 
Back
Top Bottom