Sasa mtu unanipa hela kwanini nisijifanye nacare jamani?Licha ya hivyo hawa side chick wanajifanya wanacare sana jambo ambalo litamfanya mwanaume aendelee naye.
Haya bwana we niringishie tu na papa lakoBasi kesho nakuletea Tabata ushindwe wewe tu
Nimekuahidi nakuletea bado unasema naringaHaya bwana we niringishie tu na papa lako
Mmmmh.Wahenga wanasema marry first, love will follow.
Hakuna raha kama kuwa na mke mwema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] i wishNimekuahidi nakuletea bado unasema naringa
Labda uwe hulitaki tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] i wish
Mwanzoni ataonesha tabia nzuri na umahiri wa kuwajibika kila namna hatimaye mtu unavutiwa na unaamua kumuweka ndani, baada ya hapo ule umahiri unaanza kutoweka taratibu jambo ambalo linapelekea kuanza kuwaza side chicksKweli mngekua mnaishia kupiga nje ila hamfugi.
Wanawake wengi wanaona wakishakua kuwa Mrs. Fulani ndo basi. Wanasahau hata kama ni mapenzi na kitu fulani bwana alivutiwa nacho mwanzoni mpaka wakaolewa. Anyway sijaolewa labda siwezi kujua zaidi kwanini wanabadilikaga ndani ya ndoa.Mwanzoni ataonesha tabia nzuri na umahiri wa kuwajibika kila namna hatimaye mtu unavutiwa na unaamua kumuweka ndani, baada ya hapo ule umahiri unaanza kutoweka taratibu jambo ambalo linapelekea kuanza kuwaza side chicks
Sio uoga. Tunaongeza vikorombwezo tupewe zaidi. Pesa ya kupewa tamu wewe sema ndo vile ina manyangasoMara nyingine huo ni uoga wenu kisa umepewa hela, utaonesha kila aina ya mambo ya kumfurahisha mwanaume
Hili ndio tatizo, mapenzi ya ndani ya ndoa yanatakiwa yawe ya hali ya juu na yenye kuimarika kila siku lakini cha ajabu ni kinyume chakeWanawake wengi wanaona wakishakua kuwa Mrs. Fulani ndo basi. Wanasahau hata kama ni mapenzi na kitu fulani bwana alivutiwa nacho mwanzoni mpaka wakaolewa
Believe me my dear, thats the truth.Mmmmh.
Labda neno ndoa linakuaga na tatizo. Kuna wale wanadate bf na gf hata miaka sita ila wakiingia kwenye ndoa miezi minne tu wanaanza manung'uniko.Hili ndio tatizo, mapenzi ya ndani ya ndoa yanatakiwa yawe ya hali ya juu na yenye kuimarika kila siku lakini cha ajabu ni kinyume chake
Ni kweli mkuu, ndoa ina mapenzi mazito na ya uhakika kuliko hawa chicks lakini tatizo ni namna ya kuzitunza hizi ndoa ili ziweze kuwa na mapenzi ya kuridhishaWahenga wanasema marry first, love will follow.
Hakuna raha kama kuwa na mke mwema
Kweli nyingin3 naona haziwork kwangu. Mi siwezi kuja kumpenda mtu baada ya ndoa. Tupendane huku nje kwanza.Believe me my dear, thats the truth.
AiseeLabda uwe hulitaki tu.