Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,274
- 61,225
Ndio maana ndoa zinavunjika sana nafikiriWengi wanaojiingiza kwenye mahusiano kwa wakati huu wa kidigital hichi ndio kipaumbele chao
Ndio maana ndoa zinavunjika sana nafikiriWengi wanaojiingiza kwenye mahusiano kwa wakati huu wa kidigital hichi ndio kipaumbele chao
Mimi nafikiri malezi yana play role kubwaNi changamoto sana kwa sasa jinsi Dunia inavyoenda kasi ila unaweza kubahatisha japo ni mara chache sana
Na mkeo ni side chick wa mwingine teh ..Side chicks wana ladha yake bhana!
Utamu wa penzi la wizi
Mke wako ni side chick wa mwingine, na huko anaonekana hot balaa!
Kavaa sema rangi ya chup☆ yake inafanana na ngozi [emoji2] [emoji2]Duu hili chick chupi limeacha home
Umeona mbali sana....DemiMke wako ni side chick wa mwingine, na huko anaonekana hot balaa!
Ndo hivyo mkuu, watu wanawadhaarau wake zao lkn hawajui kuwa kuna sehemu na wao wanaonekana wa maana. What goes around always come around!Umeona mbali sana....Demi
Ha haaa ndo hivyoKwa maelezo ya...demi...nime nawa mikono.
Ndo ivo ivo vifaranga [emoji213]mnazungumzia vifaranga wa pembeni au mi sijaelew
Kunywa Pepsi kwa mangi nakuja kulipa..na huo ndio ukweli ma side chick niwakati wa raha tu ..shida utakula na mkeo..HESHIMUNI WAKE ZENUMkuu waswahil wanasema rafik wa kweli ni yule akufaae wakat wa dhiki
Hawa side chick wao wanakuwepo wakati wa raha tu ktk dhiki ndo utaskia ooh babu huna hazi ya kua na mm mara hivi mara vile
Mm binafsi namheshimu sna wife na hizi side chick kwangu hazina nafasi kabisa
Kubwa mtu ni kuridhika na alichonacho na kukitunza kinavostahili
Ni nini hasa ambacho kinakufanya umtunze kiasi hicho kuliko wife?
Ngoja nifikirie Kwanza, halafu nitasema jibu lako on your behalf.jibu ninalo naogopa BAN
Ah weUtamu wa penzi la wizi
Umezungumza jambo la msingi sana. Love should be a choice, not a feeling.Dear men, side chicks look hotter than wife because you don't live with them.
You only see them when they’ve perfected their makeup.
Don't leave a wife because of a hot side chick.
Her hotness is a mirage that will disappear once you start living with her.
Don’t let your emotions deceive you that you have fallen in love.
Falling in love is not as deep as standing in love.
A person who falls in love can fall out of love. But when you stand in love, it means you stand up for your partner for better or worse.
Falling in love is emotional.
Standing in love is a choice of commitment.