Why Your Side Chick Looks Hotter Than Your Wife

Sometimes the look doesn't count of a side chick bt how she cares,talks,n everything like that makes men think abt sidechicks all the time!
Na hapo huenda wanafanya kwa makusudi ili kuwatega wanaume
 
Hakuna makusud kabsaa tena anaelia ni mwanaume co m/kee atii!! Hyo kucare kuongea ni tabia ya mtu kuna watu wamejaliwa saut au mienendo mkuu
 
Uko sahihi mkuu, hapa kinachochangia kwa wanaume ni udhaifu na tamaa tuliyonayo ya kutaka kuonja kila kitu tunapokiona ni kizuri
And haijalish umr na kuna wanaume ukiambiwa uyu anachepuka unabak mdomo wazi kabsa coz uez amin but lile swala halina umr,au nn ni hisia tu and wapo ambao wanajitambua kabsa na wapo watu wazma ovyo kuna mwngne utakuta anako ka sidechick kamoja tu anywhere alipo utamuona na kasidechick kake
 
Hili janga ni kubwa sana miongoni mwa wanaume, limekuwa kama aina fulani ya ulevi ambapo usipoonja kwa siku kadhaa unajihisi kuumwa
 
Dear men, side chicks look hotter than wife because you don't live with them.

You only see them when they’ve perfected their makeup.

Don't leave a wife because of a hot side chick.

Her hotness is a mirage that will disappear once you start living with her.

Don’t let your emotions deceive you that you have fallen in love.

Falling in love is not as deep as standing in love.

A person who falls in love can fall out of love. But when you stand in love, it means you stand up for your partner for better or worse.

Falling in love is emotional.

Standing in love is a choice of commitment.
Wanaume bana
 
Very true mkuu
 
Suluhu ya hili janga unafikiri ni ipi mkuu?
Mkuu waswahil wanasema rafik wa kweli ni yule akufaae wakat wa dhiki

Hawa side chick wao wanakuwepo wakati wa raha tu ktk dhiki ndo utaskia ooh babu huna hazi ya kua na mm mara hivi mara vile

Mm binafsi namheshimu sna wife na hizi side chick kwangu hazina nafasi kabisa

Kubwa mtu ni kuridhika na alichonacho na kukitunza kinavostahili
 
Kweli mkuu

Wao wanajali sana maslahi yao, watatakawakuchune ipasavyo ila zikiisha wanakukimbia
Mm binafsi namheshimu sna wife na hizi side chick kwangu hazina nafasi kabisa
Hilo ndio jambo la muhimu ambalo tunatakiwa kulizingatia daima maana ndoa ni makubaliano yakiambatana na kuamianiana kwa kila jambo kwa wakati wote wa maisha yenu
Kubwa mtu ni kuridhika na alichonacho na kukitunza kinavostahili
Kwenye kuridhika ndio mtihani mkubwa ambao wachache huufaulu, waliowengi wanaangukia pua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom