Why Your Side Chick Looks Hotter Than Your Wife

Labda neno ndoa linakuaga na tatizo. Kuna wale wanadate bf na gf hata miaka sita ila wakiingia kwenye ndoa miezi minne tu wanaanza manung'uniko.
Hapo panakuwa na tatizo miongoni mwao, huwezi kuwa katika mahusiano kwa muda mrefu kiasi hicho na mshindwe kujua madhaifu yenu na kuvumiliana. Labda hayo mahusiano yawe ni ya long distance bila kuonana kwa muda mrefu
 
Ya pamoja kabisa. Hivi unajua wanawake wengi tunahusudu ndoa? Kabla ya ndoa tunakua malaika kabisa. Ila tukishapata ndoa tunaona ndo tumemaliza tunarudi kwenye uhalisia wetu sasa.
 
Labda neno ndoa linakuaga na tatizo. Kuna wale wanadate bf na gf hata miaka sita ila wakiingia kwenye ndoa miezi minne tu wanaanza manung'uniko.
Ni kwasababu walikuwa aidha hawaishi pamoja au walikuwa wanadanganyana kwa mapenzi zaidi bila uhalisia.
Yaani ni s@# zaidi kuliko hali halisi ya maisha.
Hapo wanapoanza maisha ya ndoa ndio uhalisia unaanza na kuwa wakweli katika mikakati ya maisha
Hapo ndipo mmoja wenu anakuwa bado yupo katika maisha ya u bf/gf badala ya kubadilika na kuyajenga maisha in reality.

Huenda nina mtizamo tofauti
 
Uko sawa
 
Utapenda wangapi mpaka uje kuamua kuolewa?
Maana utampenda mmoja halafu mnatibuana unaanza na mwingine
Kumbuka ndoa ni bahati wala sio ujanja
Nitapenda tu mpaka itakapotokea. Ingekua kuolewa tu ilimradi ningeshakua kwenye ndoa ambayo labda isingedumu hata miezi sita maana ningeshindwa kupretend. Bahati huja pale mnapokua na mutual feelings. Si kwamba anaetamka anataka kukuoa ndo bahati yako.
 
Ya pamoja kabisa. Hivi unajua wanawake wengi tunahusudu ndoa? Kabla ya ndoa tunakua malaika kabisa.
Kbala hujaolewa lazima uoneshe kila aina na dalili za tabia njema ili uweze kuwavutia wanaume, samaki bila chambo huwezi kumnasa.
Ila tukishapata ndoa tunaona ndo tumemaliza tunarudi kwenye uhalisia wetu sasa.
Hapo huwa mnajinasibu kuwa kazi ushaimaliza na unakaa ukijua sasa ndio wakati wa kustarehe na kusahau majukumu muhimu ambayo ukiyatekeleza ndio utajenga ndoa imara na utastarehe zaidi, Kikubwa mwanamke akijua wajibu wake ipasavyo katika ndoa, ndoa itaimarika na kuwa imara muda wote ila akibweteka matokeo yake ni kuruhusu mume kuanza kutafuta chicks wa kumliwaza
 
Nitapenda tu mpaka itakapotokea. Ingekua kuolewa tu ilimradi ningeshakua kwenye ndoa ambayo labda isingedumu hata miezi sita maana ningeshindwa kupretend. Bahati huja pale mnapokua na mutual feelings. Si kwamba anaetamka anataka kukuoa ndo bahati yako.
Ndio maana ninasema ni bahati
Unaweza kupendana na mtu kwa dhati kabisa na huenda mnashabihiana vitu vingi labda unapenda gardening nae anapenda au travelling nae kwa sana
Au unawapenda mawifi na wazazi wake yaani vitu vingi mpaka ukasema YES This is the one and only one
Ukaamua kufunga ndoa mkiwa na ndoto nyingi sana za maisha ya baadae
Halafu akaja badilika au ukabadilika na kumfuata mwingine.
All in all tuombe Mungu atupe tutaishi nao bila matatizo
Mbona zamani walikuwa wazee enzi zao za ujana wanaoa tu bila kumjua lakini wanaishi mpaka kuzikana.
Lakini siku hizi mpaka kuonjana kwanza halafu baadae mkigombana ndio iwe fimbo ya kukuchapia

Kwenye ndoa hakuna ku pretend ni reality life
 
Kwa sababu kipya kinyemi........Halafu side chick ni kama bustani vile unaitunza Zaidi kuliko wife ambaye ni kama shamba, unajisahau wakati mwingine mpaka linaota magugu.

NB: Mimi kuchepuka nilishaacha kwani kunaongeza stress za bure tu.
 
Zamani na sasa hiv ni tofauti kabisa.
 
Kwa sababu kipya kinyemi........Halafu side chick ni kama bustani vile unaitunza Zaidi kuliko wife ambaye ni kama shamba, unajisahau wakati mwingine mpaka linaota magugu.

NB: Mimi kuchepuka nilishaacha kwani kunaongeza stress za bure tu.
Wewe umeongea mazito sana
Hakuna kibaya kama kuwa na wa nje
Kwani kama utapendelea nje ndio chanzo cha vurugu na vita visivyokuwa na maana nyumbani
Shetani mbaya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom