Dx and Rx
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,324
- 3,155
- Thread starter
- #61
Uko sahihi.Si mbinu sababu kama ungejua ni mbinu ungejitoa. Ni kwamba kuna mapungufu kwa mkeo unayoyakuta kwa side chick ndo maana unaamua kutulia nae.
Ni kwa nini side chicks wanaweza kujituma zaidi ya mke halali? huoni kwamba wanafanya juhudi kuteka mioyo yetu