ujumbe umefika, wapo wasochoka kupiga kabisa na siyo kupokea, ukute hapo vocha anajinunulia mwenyewe hapo. Jamani ukimpenda asopendeka shida sanaNunua simu ambayo ina touch screen ili vidole visichoke kupokea. Unaweza kununua wireless/ bluetooth headphones ili usichoke kushikilia simu. Ila huyo siku akiachabkuwa anapiga piga simu ujue keshapata asiechoka kupigiwa.
wanajf ni swal kwamba kwanini baadh ya wanawake wanapenda kucontact several times per day yan muda wote anakupigia cm na kwa bahati mbaya sometime hana cha kuongea but atapiga tu... nfanyeje ndugu nampenda but nachoka kupokea cm..

Kiswahili fasaha hukifahamu ?wanajf ni swal kwamba kwanini baadh ya wanawake wanapenda kucontact several times per day yan muda wote anakupigia cm na kwa bahati mbaya sometime hana cha kuongea but atapiga tu... nfanyeje ndugu nampenda but nachoka kupokea cm..