Why wanapenda maongezi ya simu?

Why wanapenda maongezi ya simu?

wanaJF ni swali kwamba kwanini baadhi ya wanawake wanapenda kucontact several times per day yan muda wote anakupigia simu na kwa bahati mbaya sometime hana cha kuongea but atapiga tu... nfanyeje ndugu nampenda but nachoka kupokea simu.
nawewe ntakujibu kama nilivyomjibu mwenzio wakusoma awali...
punguza kutembea na vitoto vya shule :embarassed2:
 
hahaha, mi nikiambiwa nachosha kupiga simu, naanza kupigia wengine kwenye phonebook yangu. stress ya nini bwana? hapo jitu halijui kuna mtu anakusumbua na salamu kutwa mara tatu hadi unam-block! :juggle:
Siku nikinyimwa kupiga na kutuma sms nafwaa.

Ila kuna watu jamani, bora waombwe tu vocha afu apigiwe mwingine.
 
Ha ha ha ha, na kuna mwingine analilia akuhonge, siku akikununulia hata lunch anaandika kwenye dayare

Back
Top Bottom