Why UKAWA will loose the 2015 Election

Why UKAWA will loose the 2015 Election

Kwa upande wangu...
1. Takribani wapiga kura milioni 1 wa mwaka 2010 hawatapiga kura mwaka huu
2. Takribani wapiga kura milioni 15 watapiga kura mwaka huu, milioni 8 wakiwa "wapya"..
3. Takribani wapiga kura milioni 1 waliopigia CCM mwaka 2010 hawataipigia tena mwaka huu (hii itashuhudiwa zaidi Arusha, Manyara, Mtwara, Lindi, Songea, Morogoro, Singida na Tabora)
4. Takribani wapiga kura laki 2 walioipigia CDM kura mwaka 2010 hawataipigia mwaka huu (Kigoma, Rukwa, Katavi)
5. ACT haitaweza kupata zaidi ya kura laki 2 kwenye uraisi kwa sababu haitakuwa na mgombea mwenye nguvu, na hata yenyewe haitakuwa na nguvu za kufanya kampeni

Halafu
1. Asilimia 50 ya wapiga kura hadi sasa wameshaamua chama watakachopigia kura bila kujali mgombea ni nani
2. Asilimia 25 ya wapiga kura watapiga kura kwa kuangalia mgombea ni nani
3. Kati ya hao asilimia 25, asilimia 10 ni watiifu wa Lowassa, kama hatapitishwa, asilimia 8 kati yao watapigia vyama vingine kwa hasira
4. Asilimia 25 ya wapiga kura wataamua kutokana na upepo na ushawishi wa kampeni
5. CCM kwa kutumia tume ya uchaguzi na dola, watalazimisha asilimia 5 ya kura kwao...

Kazi bado ni ngumu...

Nice analysis,nakubaliana na wewe kuhusu mtazamo wa watanzania wengi kwa sasa,wanaangalia sana mgombea gani kuliko chama hii ni tofauti na 2010.Kwa mantiki hii kura laki 2 kama ulizoandika hapo za ACT zinaweza kuwa zaid (mayb even million) japo sina data za population za kigoma na tabora bt Zito popularity inaweza kuchange upepo wa upinzani na kuongeza kula za ACT.
 
kuna sheria ya matumizi ya statistics imepitishwa juzi.........matumizi ya data zisizo rasmi ni makosa ya jinai(lazima ziwe zimepitishwa na tbs). Ukipatikana na hatia utakwenda segerea kwa 2 years.

Acha ndoto za mchana.

acha ulevi; hakuna sheria duniani inayoweza kumkataza mtu kifikiri na kuandika mitazamo(hesabu zake); ninapatikana muda wowote ule kusimamia nilichoandika
 
Please make your NOT poor analysis: POLITICS IS A GAME: To win it you have to have a strategy, CCM has a strategy year after year thats why they are winning,,not because they are popular or people like them: I gave you three reasons why UKAWA watashindwa,,not having Zitto on board is one of them,,zipo nyingi tu sababu:

Nadhani mbinu kubwa na pekee ya kuwafanya ccm kushinda ni kutumia vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kutangaza matokeo batili ni si vinginevyo halafu waje na swaga za kwamba kama hujatendewa haki nenda mahakamani. Huko mahakamani ndio siku hizi kimegeuka kichaka cha kupora haki za wananchi na hilo liko wazi sana kwa jinsi mahakama zetu zilivyoweka rushwa mbele.
 
Nice analysis,nakubaliana na wewe kuhusu mtazamo wa watanzania wengi kwa sasa,wanaangalia sana mgombea gani kuliko chama hii ni tofauti na 2010.Kwa mantiki hii kura laki 2 kama ulizoandika hapo za ACT zinaweza kuwa zaid (mayb even million) japo sina data za population za kigoma na tabora bt Zito popularity inaweza kuchange upepo wa upinzani na kuongeza kula za ACT.

Ni kweli.. lakini sioni ACT wakija na mgombea mwenye nguvu. Kama Zitto angekuwa na vigezo kiumri akagombea ningetarajia zaidi ya kura milioni 1 kwake. Unless mtu kama Lowassa aende huko, lakini sioni wakiwa na mgombea mwenye ushawishi.
 
Nielimishe niondoe ujinga wangu ndugu: UKAWA ni nini? Kwanini iliundwa?
Ni kweli UKAWA uliundwa kuitetea katiba ya wananchi lakini pia wamesaini makubaliano ya kushirikiana kwenye uchaguzi. Hata vyama vya ODM na NARC vya Kenya vilianza na miungano iliyotokana na kupinga au kuunga mkono katiba pendekezwa wakati wa mchakato WA katiba ya Kenya.Baadaye walivigeuza kuwa vyama vya siasa na NARC walishinda uchaguzi mwaka 2007 kupitia Mwai Kibaki na ODM ya Raila ikashika nafasi ya pili.
 
I have doubts with point number 2 and 3.
Its impossible to challenge Mbowe at Chadema, nobody will dare to do it,,not Lissu not Mnyika. They have seen and learnt what happens when you do it: Lets be honest there:Chadema is Mbowe and Mbowe is Chadema,period:

Popularity of Chadema in Kigoma has been after their people.( Kaborou and Zitto). You can see already why ACT is gaining popularity there,,sababu they support their own.

Follow closely political history of Ruto and that of Zitto, similarities are clearly there🙁 Political Confidence)

Yan cjawai kusoma ----- kama huu. Watu wengine cjui wanaumia nin kufikiri? tumia kichwa baa
 
Ni kweli.. lakini sioni ACT wakija na mgombea mwenye nguvu. Kama Zitto angekuwa na vigezo kiumri akagombea ningetarajia zaidi ya kura milioni 1 kwake. Unless mtu kama Lowassa aende huko, lakini sioni wakiwa na mgombea mwenye ushawishi.

Hii inamaanisha moja kwa moja kuwa kura nyingi zitaenda kwa ccm kwenye presidential post coz sidhani kama watu wa ACT wataweza kuwapa kura upinzani(hasa chadema) even though kwenye ubunge ACT itapigiwa kura kwenye maeneo yao.Kwa ujumla bado ni mtihani mzito kwa ukawa kupiga political calculation na cost-benefit analysis za Zito
 
Hata mama yako hawezi chagua ccm. Maana amechoshwa na sera, rangi ya bendera, ideology, also structures of that part. It's time to destroy this part ccm in any means.
 
Watu wamemuelewa zzk kwamba ni msaliti mkubwa labda wewe
 
Ndugu Tindo,

By elections sio sawa na Main election: Kwenye chaguzi ndongondogo, Chama kinapata muda na nafasi ya kutosha kumchagua mgombea anayefaa: Kwenye uchaguzi mkuu,,Chama kinahitaji kujichanua nchi nzima kupata wagombea wanaostahili; hivyo basi siwezi kutumia chaguzi ndogo kama sababu ya kufanya uchambuzi wangu:

Ukawa watashindwa kwa sababu hizi:
- zitto
-kutokupata wapiga kura wapya🙁new voters)
-Tamaa za viongozi wa Ukawa

UKAWA hawatashindwa sababu ya CCM:

Bila kumuonea zitto nasema kweli yangu hapa Zitto ni mvurugaji wa upinzani Tanzania. Kwa mantiki hiyo huwezi kukubaliana na hoja za zitto wakati unajua malengo yake ni kupunguza kura za ukawa. Huyu Zitto si mpinzani kama anavyojipambanua kwa umma.

Ujanja wake unajulikana wazi, ukiwa mwanamageuzi ya kweli huwezi kujaa kiburi na ujuaji mwingi mbele ya wanamageuzi ya kweli, unawaomba msamaha mnasonga mbele. Zitto wapambe wake wengi ni wafuasi wa ccm wala usiumize kichwa. Zitto hufiki popote nakuhakikishia umelisaliti Taifa.
 
Hii inamaanisha moja kwa moja kuwa kura nyingi zitaenda kwa ccm kwenye presidential post coz sidhani kama watu wa ACT wataweza kuwapa kura upinzani(hasa chadema) even though kwenye ubunge ACT itapigiwa kura kwenye maeneo yao.Kwa ujumla bado ni mtihani mzito kwa ukawa kupiga political calculation na cost-benefit analysis za Zito

ACT haina loyal voters zaidi ya laki 2. Influence ya ZITTO kama angegombea ingewapa kura mioni 1. Asipogombea hao watu watagawanyika normally kwa wagombea wengine
 
Wewe hujamuelewa, katika harakati za mapambano, makenge huamatana na wale wanaharakati halisi.
Zzk na wengineo wameshindwa kutumia karata zao vema, wakati walio ondoka chadema haukuwa mwafaka maana wezao walifichua malengo yao kabla na hata walipoondoka bado wamepita njia ile ile waliyokuwa wametuhumiwa kabla. Kwahiyo wanao wafuata ni matahila sio wenye utashi.
 
Bw Simple Mimi nakuchukulia kama mwanaharakati kwa mtizamo chanya. Yaani umetoa huu mchango ili kuuamsha ukawa ujipange ilhali bado asubuhi. Fursa iliyopo kwa ukawa ni kutumia mtifuano na tofauti zinazojitokeza ndani ya chama tawala katika kumtafuta mgombea wao. Vyovyote vile, fursa kwa ukawa ni kubwa kwani mgombea wa safari hii hatakuwa na mvuto sawa na wa JK mwaka 2005. Kinyume na kuitumia nafasi hii vizuri, tusahau ukawa kuchukua dola mpaka vipindi viwili vipite tena.
 
Last edited by a moderator:
Kwa upande wangu...
1. Takribani wapiga kura milioni 1 wa mwaka 2010 hawatapiga kura mwaka huu
2. Takribani wapiga kura milioni 15 watapiga kura mwaka huu, milioni 8 wakiwa "wapya"..
3. Takribani wapiga kura milioni 1 waliopigia CCM mwaka 2010 hawataipigia tena mwaka huu (hii itashuhudiwa zaidi Arusha, Manyara, Mtwara, Lindi, Songea, Morogoro, Singida na Tabora)
4. Takribani wapiga kura laki 2 walioipigia CDM kura mwaka 2010 hawataipigia mwaka huu (Kigoma, Rukwa, Katavi)
5. ACT haitaweza kupata zaidi ya kura laki 2 kwenye uraisi kwa sababu haitakuwa na mgombea mwenye nguvu, na hata yenyewe haitakuwa na nguvu za kufanya kampeni

Halafu
1. Asilimia 50 ya wapiga kura hadi sasa wameshaamua chama watakachopigia kura bila kujali mgombea ni nani
2. Asilimia 25 ya wapiga kura watapiga kura kwa kuangalia mgombea ni nani
3. Kati ya hao asilimia 25, asilimia 10 ni watiifu wa Lowassa, kama hatapitishwa, asilimia 8 kati yao watapigia vyama vingine kwa hasira
4. Asilimia 25 ya wapiga kura wataamua kutokana na upepo na ushawishi wa kampeni
5. CCM kwa kutumia tume ya uchaguzi na dola, watalazimisha asilimia 5 ya kura kwao...

Kazi bado ni ngumu...

angalau umejitahidi
 
Bw Simple Mimi nakuchukulia kama mwanaharakati kwa mtizamo chanya. Yaani umetoa huu mchango ili kuuamsha ukawa ujipange ilhali bado asubuhi. Fursa iliyopo kwa ukawa ni kutumia mtifuano na tofauti zinazojitokeza ndani ya chama tawala katika kumtafuta mgombea wao. Vyovyote vile, fursa kwa ukawa ni kubwa kwani mgombea wa safari hii hatakuwa na mvuto sawa na wa JK mwaka 2005. Kinyume na kuitumia nafasi hii vizuri, tusahau ukawa kuchukua dola mpaka vipindi viwili vipite tena.

Nashukuru ndugu yangu kwa kunielewa;
Lengo ni kuamsha mjadala chanya, na kupeana ushauri: Wanapita pita humu JF, lazima kuna mawili matatu watajifunza. We have to keep talking
 
Impossible to a new political part like ACT to get more than 1million votes, (poor estimates) since you have taken into consideration only one factor (new member ZZK).
Your estimates is not clear and valid enough to convice voters because it is not recent data (2010) perhaps u could use recent data as well as other recent research to make your argument strong, this could avoid biases, also there could be no room to question your objectivity also your competence.
You didn't provide your recommendations towards your opinions provided,
 
Back
Top Bottom