Mimi nadhani swala si hizo ten reasons kama unavyoziita wewe. Kitu kikubwa hapa ni
research infrastructures and funds.
Nasema hivi kwasababu;
1) Vyuo vingi hivyo mnavyoviita vya kata au vilaza, hao Maprofesa most of them (kama si wote) wametoka hapo UDSM, na walikuwa very good researchers hapo na kazi zao (au baadhi) pia zinatumika ktk kupata ranking za chuo.
Sasa ktk hivi vyuo vipya bado miundo mbinu (infrastructures) bado haijatengemaa kama UD. na ikumbukwe UD wamerithi miundo mbinu toka enzi za ukoloni na EAC.
Kwa hiyo hawa Profesa pia wakipata nafasi sawa utaona ushindani utakaotokea.
2) Huwezi linganisha baadhi ya vyuo na UD kutokana na wanachofundisha, mfano mzuri hapa ni MUHAS. Muhimbili ni chuo kinachofundisha masuala ya afya tu. UD hakuna masuala yanayofundishwa MUHAS, na MUHAS hakuna yanayofundishwa UD. Ukisema kuhusu research infrastructure and funds, unaweza kukuta mostly (if not all) zinazohitajika MUHAS ni ghari zaidi. Hivyo basi, hata funds ni vigumu zaidi kupata ukilinganisha na UD. Funds unazotakiwa kupata ili ufanye research, kwenye Social science huwezi kuzipima na zile za afya.
Hivyobasi, kwa mawazo yangu nadhani tuvipe muda hivi vyuo vipya kama UDOM, Nelson Mandela, e.t.c, vimalize interim period zao, then tuone their impact.
Ten reason this university of gifted students in the country is ranked number one. UDSM the only one. it acquare number 1 position ,number 2 position and 3. then SUA fourth
- Access to the best professors.
- Motivation atmosphere for students.
- Opportunity to pursue any field.
- Gud living experience.
- Opportunity for internships and jobs
- Largest Library system in Tanzania
- Diversity
- Great career opportunities
- Large budget compared to others.
- Leading in scientific researches
- Best students in the country.
- Book writings and publication.
- Innovative capabilities.
- Number of students is large compared to others
​INABIDI USALI SANA NA KUSHUKURU KAMA UMEPATA KUSOMA UDSM, IT IS A ONCE IN A LIFE TIME CHANCE.
VILAZA MTAJIJU, VILAZA MTAJIJU, VYUO VYA KATA MTAJIJU, AILI MGANDO MTAJIJU:flypig: WE FLY HIGH