Jamani ushindani wa vyuo sio mzuri, chuo ni chuo tu. lakini kila sehemu kuna ranking . hata mabata kuna bata mkubwa, mdogo. hata kichaa kuna kichaa zaidi, mwingine kidogo. haimaanishi kwamba udsm ndo ina best student. ila tu chu kama chuo kinakuwa graded number 1. kwa hiyo mi naamini kila chuo kinatoa wanafunzi bora na wenye kipawa. raisi kutoka ccm haimaanishi kuwa chadema si chama kizuri,. tuwe wepesi wa kufikiria jamani:bolt:
Actions speak louder than words.
Easily said than done.yafuatayo ni mambo ambayo yanadhihirisha ubora wa udsm.kwanza kabisa tukumbuke kuwa tz ilipata uhuru mwaka 1961 kabla ya uganda na kenya.cha kushangaza udsm hiyohiyo imepigwa ugepu na kenya ambayo ilichelewa kupata uhuru.uchumi wa tanzania ulikuwa ktk hali nzuri sana.cha kushangaza udsm hiyohiyo ambayo inatoa wanauchumi na viongozi bora wameshindwa kuleta mabadiliko mazuri ya kiuchumi.udsm hiyohiyo ambayo inachukua vichwa wanafunzi wake wameshindwa kufanya vizuri kwenye mashindano ya airtel english unashindwa unabadilishiwa kiswahili hola.wakati kenya ikiendelea kuzalisha million of dollars kupitia sekta ya kilimo sisi tumekalia mabishano ambayo si yenyekujenga.tukumbuke kuwa kwa ukubwa kenya ni ndogo kuliko tanzania.sisi tuna ardhi kubwa na pana lakini tume kuwa si wenye kupiga hatua.it is a high time now to have a positive attitude towards each university in tanzania.let us gather our strength, study hard and work for the progress of our nation and the future generation as well.