Why UDSM is ranked number 1 , 2 and 3 in TANZANIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why UDSM is ranked number 1 , 2 and 3 in TANZANIA

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mwanamabadiliko, Sep 1, 2012.

 1. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  Ten reason this university of gifted students in the country is ranked number one. UDSM the only one. it acquare number 1 position ,number 2 position and 3. then SUA fourth  • Access to the best professors.
  • Motivation atmosphere for students.
  • Opportunity to pursue any field.
  • Gud living experience.
  • Opportunity for internships and jobs
  • Largest Library system in Tanzania
  • Diversity
  • Great career opportunities
  • Large budget compared to others.
  • Leading in scientific researches
  • Best students in the country.
  • Book writings and publication.
  • Innovative capabilities.
  • Number of students is large compared to others
  ​INABIDI USALI SANA NA KUSHUKURU KAMA UMEPATA KUSOMA UDSM, IT IS A ONCE IN A LIFE TIME CHANCE.
  VILAZA MTAJIJU, VILAZA MTAJIJU, VYUO VYA KATA MTAJIJU, AILI MGANDO MTAJIJU:flypig: WE FLY HIGH

   
 2. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ahaa ! kumbe ukienda UDSM unakuwa sio kilaza ? nakubali udsm wapo wanafunzi wengi wakali but pia wa kawaida sana wapo , nakumbuka jamaa wengi tu na wengine ni jamaa zangu wamedisco wakiwa pale udsm
   
 3. e

  elank54 JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inaonekana udsm wanachukua watu wenye div 1.3 tu....
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  You might be right, lakini hali inabadilika. Tatizo la vyuo binafsi ni tamaa ya wealth accumulation kwa owners badala ya kuvijenga both in terms of infrastructure and superstructure
   
 5. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Si kweli labda miaka hii ambayo wanafunzi wa shule za kata wamekuwa wengi, kwa kumbukumbu zangu udsm hapo nyuma wamekuwa wakichukua div. 3 nyingi sana katika baadhi ya course , na mind you mleta hii hoja, wanafunzi wa division 2 au 3 wa miaka ya nyuma walikuwa pengine wakali kuliko wa division 1 za kata
   
 6. Persie

  Persie Senior Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unajua ni nn tukiendelea kubishana sana na hawa watu hamna kingine zaidi ya kuwa paisha kuwafanya wazidi kujisikia wapo juu dawa ni kukubaliana nao tu kwamba sisi vilaza wao magenious kweli mpo juu bt msitunyanyapae bac wa vyuo vya kata couse hata wa oxford,harvard wakianza kuongea na nyie mtakua cha kata tu piga UD napiga cha kata mwisho wa siku tupo wote ofisini what the difference?.......
   
 7. maphie

  maphie Senior Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  udsm will remain in the history of Tanzania and East Africa in general as the place of excellence! Jk na serikali ya ccm wanajitahidi sana kududunisha fikra za udsm na kupromote udom ila hila zao zinashindwa kila kukicha. Tuna kila sababu ya kuimarisha vyuo vingine kwa kuiga mfano wa udsm kwn hata hao wengine wanaoenda vyuo hivyo ni watanzania na wanarudi kuwatumikia watanzania
   
 8. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  UDSM wanaoingia na div. kali ni wale wa course za social sience na wachache wa pure, from my experience, mwanafunzi aliyesoma pure science ni rahisi sana kupasua social science except sheria, lakini ukichukua upande wa pili social science hawezi kumudu pure science, kwa namna hiyo ukiangalia udsm course nying za social science, mtazamo wangu ufaulu wa form six sio tija sana , udsm na vyuo vingine hivyo vinavyodharaurika wanafunzi watakao graduate wanaweza kutengenezwa na aina ya walimu wao 2 na hakuna zaidi ya hapo, ubora wa wahadhiri ndo unaotoa ubora wa mwanafunzi
   
 9. k

  khamsa Senior Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  na hapa ndio utagundua ud wengi ni vilaza unawezaje kulinganisha udsm yenye miaka 50 na udom with 5yrs. Ninachoamini kila chuo kina watu wakali na wenye fikra pana lkn pia wapo vilaza. Tuache fikra mgando.
   
 10. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbav zangu...ha ha ha
   
 11. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Udsm will remain that for so many years to come! Huwa hata huku street nimekuwa nikiangalia wanafunzi kutoka vyuo vingine jinsi wanavyoongea utumbo... hawana hata busara katika maongezi yao..hata pale wanapijitahidi kujifananisha na udsm hoja zao ni mfu.. Bora SUA NA MZUMBE! wale wanaweza kushindana na UDSM kwa mengi, but only Global University here in Tz are UDSM AND SUA!
   
 12. C

  Cognitivist JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 973
  Trophy Points: 180
  walisoma udsm ndio wameifikisha nchi hapa ilipo leo. Ukipanga wenu uko kwenye ufisadi, wizi na ubinafsi. Shiit!
   
 13. H

  Herg Senior Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ........even after mushrooming of universities in Tanzania UDSM remains 'The University'.
   
 14. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ten reasonSasa kama ndo hivyo bora vya kata kama hata basic english huwezi halafu unasema Ud ipo juu
   
 15. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  j.k alisoma pale.mwigulu nchemba amesoma pale. Lowassa amesoma pale.dr asharose mingiro aliyechemka un amesoma pale, idrisa rashidi amesoma pale halafu mnasema eti pa maana hili taifa limeangamia kutokana na wasomi wa udsm.mafisadi wahujumu uchumi wazee wa matamko na kuropoka wamesoma pale,wadada wanaoongoza kujiuza mlimani city wanatoka pale, watu wengi wanaotoka vijijini ambao hawajawahi kuona jiji ndio wamejazana pale
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  UDSM ni chuo cha kawaida sana.

  Hakijawahi kutoa Nobel Laureate hata mmoja.

  Na kusoma hapo haimaanishi wewe una akili.

  Kila siku huku mtaani tunawakimbiza hao waliosoma hapo.

  Watu kama Kikwete, Ridhiwani, na Sophia Simba kamwe hawawezi kunitisha. Na hao wote ni UDSM graduates na hao wawili wa mwisho ni graduates wa hiyo vaunted faculty of law ambayo kusema kweli haina ugumu wowote ila nadhani kwa vile lugha ya Kizungu ni janga la kitaifa ndiyo maana huwa inaaminika kwa baadhi ya watu kuwa sheria ni ngumu sana. Hapana, haina ugumu wowote ule.
   
 17. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Hivi ndugu Zangu kwenye Yale Mashindano Ya Zain Challange udzm huwa inaishia Raundi Ya Ngapi?? Hapa ndo utajua ya kwamba udzm ina vilaza kibao !!
   
 18. king kan

  king kan JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,264
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia majigambo ya wasomao ud kiukweli wanaoisifu ud mnatakiwa mtoe vigezo thabiti. Basic english na hata kiswahili mnachemka. (review post kwa makini). Wapo watu walikuwa na wani zao kali lakini wamejiunga na vyuo vingine kwa sababu ud hamna degree program wanazotaka k.v baaf, lmv na nyinginezo nyingi. Tafiti wasomi wanagimba wamesoma special na ud sample ya j.k, mwigulu na wengineo in real sense ni vilaza (japo kuna exceptions ambao kila chuo huwanao hata kama unakidharau vipi). Miaka 50 ya serikali iliyojaa wasomi wa ud bado hali ni tete. Wachumi, wanasiasa, engineers bado nchi haina cha maana cha kujivunia. Inasikitisha pamoja na miaka 50 ya ud kuzalisha wasomi Tanzania bado nchi ya Jenerali Kagame iliyotoka vitani ikiwa disiorganised na wasomi wachache imetupiga bao. Wasomi wa ud acheni upuuzi tunataka ubunifu. Upuuzi wenu hauendani na majigambo mliyonayo kwenye zain african challenge mlikuwa mnatuaibisha hadi mkajitoa. Watu wanaostahili lawama kwa kufikisha nchi hapa ni ud na ccm.
   
 19. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  kwel jf imevamiwa na vilaza
  kwanza muombe Mungu akusaidie kumaliza chuo coz weng tu wanafariki na ajal,magonjwa,n.k
  pil muombe Mungu upate kaz baada ya kumaliza na kama unasoma Ed mishahara inafanana kwa wahitimu wa vyuo vyote,
  3.ofic yoyote utakayoenda kufanya kaz utafanya na watu kutoka vyuo vyote,labda hata HRM atakaekuajir hajatoka Udsm
  4.watu wa aina yenu weng wanadisco,weng walimaliza shule kal na walidisko
  ngoja ninywe maji narud.....
   
 20. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  et in East africa,vilaza weng kwel,unajua kilishika nafac ya ngap kwenye yale mashindano ya airtel?
  Na nairobi univ ilishika nafc ya ngap?
   
Loading...