Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
Upo wapi? Umekula?
just to show how she/he cares
kama ndo umeniambia mim nakuliiza...msalani kitu cha mpango mzima nini?Suppose nikikuambia niko msalani; how can u care ?
kama ndo umeniambia mim nakuliiza...msalani kitu cha mpango mzima nini?
hahahahaha daaah umenchekesha kinoma...itakua wamezoeana sana hao watu kwa kweli?..ilishatokea bidada amemwandikia jamaa yake sms, "beiby kama umelala nirushie ndoto, kama unakula nirushie msosi..n.k"
jamaa akamjibu nakata gogo je nikurushie "kimba?"
Upo wapi? Umekula?
Suppose nikikuambia niko msalani; how can u care ?
Utarudi saa ngapi...?
Je nikuwekee chakula au utakula huko...?
lol! mi nikipiga simu isipopokelewa naandika sms 'wasalimie'
Ishaganitokea mara kadhaa, inakwaza sana..! Usiwe unamwambia hivyo bwana, anajihisi kama umembana sana.
Hapo inabidi umfunge GPS, au kama ana simu fulani turn on apps ya kuonyesha sehemu alipo ili umkamate vizuriNapenda mtu aniambie mimi nipo mahali X je wewe upo wapi?
Maana wapenzi wengine wanauliza hivyo ili apate uwanja mzuri wa kucheat!
Hapo kwenye bold, akikuuliza hivyo ujue ni kijembe hicho, ole wako ujibu ndio.Utarudi saa ngapi...?
Je nikuwekee chakula au utakula huko...?
Upo wapi? Umekula?