Why Tanzania is not interested in Technology?


Mkuu satelite si kwa ajili ya kutoa umasikini

Ni kwa ajili ya matumizi ya kijasusi, Ulinzi,hali ya hewa na mengineyo

Ni teknologia hiyo hyo inawawezesha rwanda kufanya ujasusi ndani ya tanzania pasipo nyie kujua….
Jitahidi kuhusianisha mambo

#Ogopa technologia
 
Sasa starlink unaiweka kwenye kundi la satellite zenye situational awareness.
Fuatilia vizuri kuhusu satellite ndio urudi hapa, starlink Zina latency zaidi ya 43ms, na ni Bora hata hatuzitumii.

Afu anzia kwenye elimu kwanza, ni watu wangapi hapa bongo wamesomea rocket science?
 
Tunakula urefu wa kamba kwanza
 

Nikweli kabisa !
Angalia hata pesa za kuendeshea startus ukilinganisha na kenya !!

kenya imetuzidi mara 32
khaaaah
 

mama sera yake ni zanzibar
 
Mnataka mtuondoe madarakani? Wafanye wajinga zaidi uwatawale zaidi🤐
 
Hivi kweli mtu bungeni aje na hii hoja watamkaangia kunguni mpaka ajute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…