Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Sasa kama Zimbabwe na Uganda Wamelonchi na bado ni watu maskini hizo technology zingine ni Show Off tu kwa Nchi maskini.Kenya lunch 1st satellite-2018
Rwanda lunch satellite-2019
Ethiopia lunch satellite-2020
Uganda lunch Satellite-2022
Zimbabwe lunch satellite-2022
Tanzania lunch satellite-0
Tanzania secures orbital slot, paving way for first satellite launch
Tanzania has secured a crucial position in orbit for its first satellite, paving the way for its launch into the cosmos.www.thecitizen.co.tz
Tanzaninia by number of satellites-0 / Kenya -2
View attachment 2845516
Sasa kama Zimbabwe na Uganda Wamelonchi na bado ni watu maskini hizo technology zingine ni Show Off tu kwa Nchi maskini.
Ni sawa na Mtu amuulize Mkulima wa Mahindi Mbalizi huko Mbeya why hana Laptop Apple Mac Air.
Na kuuliza kwanini hayuko Interested na Tech.
Question: Why Tanzania is not interested in technology?
Answer: Because it didn't get a president like me[emoji1]
Satelite ya nini wakati tuna simba wa simba dangote? We zombie we.
Pia hao wengine ni just wateja tu wa hizo Tech...kuwa interested na Tech ni kuhakikisha kuwa mnajitegemea kwenye angalau sekta moja ya Teknolojia kwanzia kwenye tafiti mpaka uundaji (R&D)
Education, Science and Technology is just like Nothing in Tanzania, instead the Big Deal here is Politics. Politics, I mean a Dirt Politics is Everything here in this Country, seriously I feel ashamed to be Tanzanian. If you introduce that idea of Satellite or Science and Technology to the regime of this country, abruptly you'll be an enemy of the state because such kind of stufffs cannot benefits the personal individuals in the regime.Kenya lunch 1st satellite-2018
Rwanda lunch satellite-2019
Ethiopia lunch satellite-2020
Uganda lunch Satellite-2022
Zimbabwe lunch satellite-2022
Tanzania lunch satellite-0
Tanzania secures orbital slot, paving way for first satellite launch
Tanzania has secured a crucial position in orbit for its first satellite, paving the way for its launch into the cosmos.www.thecitizen.co.tz
Tanzaninia by number of satellites-0 / Kenya -2
View attachment 2845516
Kuna aina nyinyi ya satelite zingine ni kwa ajili ya kuangalia hali ya hewa thYan kwa lugha nyepesi ukiwa unatumia internet unatuma http request hii inaenda kwenye isp yako then isp yako inapeleka http request kwenye sattelite iliyopo sehemu alafu ile satelite inaenda kuangalia kwenye www then ndio inarudisha majibu sasa mtu anasema sattelite haina umuhimu sasa sijui hata hawa walonazo wakizishusha tutacomunicate vipi ? Jaman mtumiage akili muda mwingine kuna watu kama wana mavi kichwani…
Umeongea vyema kabisa mfano kwa sattelite ilikuwa rahis sana kujua kitakachotokea hanang so ingekuwa rahis kuwaambia wachukue tahafhari kwa ukubwa kabisa , anyways tuachane na hilo kinachonishangaza ni mtumiaji wa internet haoni umuhimu wa sattelite how comes mkuu ?Kuna aina nyinyi ya satelite zingine ni kwa ajili ya kuangalia hali ya hewa th
Wewe huelewi hata tofauti ya "launch" na "lunch" halafu unataka kuongelea "technology"?Kenya lunch 1st satellite-2018
Rwanda lunch satellite-2019
Ethiopia lunch satellite-2020
Uganda lunch Satellite-2022
Zimbabwe lunch satellite-2022
Tanzania lunch satellite-0
Tanzania secures orbital slot, paving way for first satellite launch
Tanzania has secured a crucial position in orbit for its first satellite, paving the way for its launch into the cosmos.www.thecitizen.co.tz
Tanzaninia by number of satellites-0 / Kenya -2
View attachment 2845516
Kuna nchi zimepiga hatua kubwa kwenye techno-logia hiyo lakini haya majanga halisia bado yanashinda kwa knockout...mudslides huwa zinatokea ata huko ukimwengu wa kwanza na watu wanakufa. Sijajua kama satellite inaweza kikuambia kwamba mlima fulani utaporomoka bali itakuambia kuhusu hali ya hewa labda kutakuwa na mvua siku fulani kitu ambacho TMAA huwa wanatoa hizo taarifa. Nafahamu pia kuna sensor za matetemeko ya ardhi n.k lakini si unakumbuka Tsunami ilivyotokea na kusomba watu.Umeongea vyema kabisa mfano kwa satellite ilikuwa rahis sana kujua kitakachotokea hanang so ingekuwa rahis kuwaambia wachukue tahafhari kwa ukubwa kabisa , anyways tuachane na hilo kinachonishangaza ni mtumiaji wa internet have umuhimu wa sattelite how comes Mkuu?