Why some wives hate dogs...

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
tumblr_kpxcisTq9p1qzsi3ro1_500.jpg
 
Bonge la soo!Dog huyu ni kamanda kwelikweli!Sijui baada ya hapo ilikuwa vipi?
 
Simfagilii huyu dada,lakini inaonyesha jamaa rubani anarudi mara moja kwa mwaka nyumbani,safari zimezidi ,matokeo yake ndio hayo.
 
Duh!
Kwi kwi kwi.
Nilikuwa sija notice miguu ya huyo jamaa hapo anayefunuliwa na mbwa.
Job true true
 
Mbwa wambea sana, tena wangekuwa na mikono wangeshaharibu zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom