Why So Many Black Women Are Single and Alone

Nakubaliana nawe kabisa, ni makosa ya hali ya juu na ubinafsi uliokithiri wa hao wa dada kutafuta watoto na kutotaka mahusiano ya aina yoyote ile na wahusika wa mimba zao. Wengine imefikia mpaka kutegesha kupata ujauzito halafu wanauchuna bila kutia neno kwa muhusika.

Hahahahahah lol!!! Phd inaweza kupatikana ukiwa tayari umo kwenye ndoa, kama una mume muelewa, ukiwa na mume ambaye si muelewa basi kujiendeleza kielimu baada ya kufunga pingu za maisha sahau kabisa.

ni kweli ila hadi PHD jmn..??i wuldnt advise my daughter that.anyway watu tumekua tofauti,ukizaliwa nyumba baba ba mama wote.ni phd au ma prof si sawa na familia wazazi wana degree tu
 
Mimi nadhani hizi habari za 'so many black women' kuwa single ziko overstated.

Kuna takwimu za uhakika zinazoonyesha kweli kuwa wanawake weusi wengi wao wako single kulinganisha na races zingine?

Manake isije kuwa kama yale mambo ya watu weusi wengi wako kwenye welfare lakini ukiziangalia data unaona kuwa kumbe kuna wazungu wengi zaidi kwenye welfare kuliko watu weusi!
 
Hii Kimarekani zaidi, kibongobongo, especially kama hupo katika nyanja za matawi ya juu, mambo anayoongelea yanaweza kuwa si relevant kwa sana.

kwangu mimi sion kama iko justifiable
 
inategemea na uelewa wa mtu
maana mwingine mmepishana umri mchache lakini shida tupu
cha mhimu ni kila mtu aelewe majukumi yake na wajibu wake
 
Reactions: BAK
 
Reactions: BAK
 
ni kweli ila hadi PHD jmn..??i wuldnt advise my daughter that.anyway watu tumekua tofauti,ukizaliwa nyumba baba ba mama wote.ni phd au ma prof si sawa na familia wazazi wana degree tu

hmmm hmmm....??????
 
Many black man are stupid hawataki majukumu

dunia imebadilika na maisha magumu hivyo usimpe jukumu mme tu. mwendo wa kuchanga karata ukileta laki mume laki maisha rahisi tu lkn wengi wenu hata unayo utabana tu pengine mkitoka hata maji tu mnunulie mwenzio si kila kitu baby hapo ata angekuwa baba yako atakuchoka tu mis chaga.
 
Ni kweli mtachoka sema wapuuzi wachache wanaume ukianza kuchangia gharama anatafuta jukumu kubwa nje ya ndoa mmmh ukutane miss chagga naijua hela kama nilikuwa nakula hela tumboni mwa mama yangu utajuta lazima uonyeshe ww ni mwanaume
 
hhmm! jaribu kubadili mtazamo mis chaga maisha ni mazuri pale upendo na amani vitatawala zaidi ya pesa hivyo ukiweka mbele saana pesa utawaona wanaume wapuuzi lkn si kuhukumu tu anza na wewe jitafakari . sawa sawa'
 
Kulikuwa na thread hapa Wanawake wengi wenye higher iq ni single ...now je blacks women ndo wenye higher iq other races?
 
Kulikuwa na thread hapa Wanawake wengi wenye higher iq ni single ...now je blacks women ndo wenye higher iq other races?

You know....go figure!

That's why I think some of these sweeping claims are bogus.
 
Many black man are stupid hawataki majukumu

Gross generalization.

How many is many?

Are black men monolithic?

Are those from Fouta Djallon identical to those of the favellas of Rio and tye black elite of Georgia?

Are the black petit bourgeois depicted in "The Spook Who Sat by the Door" identical to wauza ng'ombe wa Pugu? Are the mining mini magnates of South Africa the same as the top athletes of the Kenyan highlands?
 
Niseme ukwel tu sijakuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…