Why So Many Black Women Are Single and Alone


Ni kweli kabisaa
 
Hilo muhimu sana katika dunia ya leo asikudanganye mtu. Nadhani unakumbuka ile methali, "Elimu ni ufunguo wa maisha"


ni kweli buh too much of anything is always harmful..haohao wazazi na ndugu wanaokukazania usome uache mapenzi ndo watakaokuja kukunyima raha na unaolewa lini?so u better learn to multitask hahah
 
Wanaume wa shoka hao wanaojitambua, elimu yenu hawakuiona kikwazo cha wao kufikia maamuzi ya kufunga pingu za maisha. Hongera zenu banaaa na wanao (kama una wa kike) uwaambie hivyo hivyo wasome mpaka Phd wanaume wapo tu.

 

a woman without a man in anykind of social interactions ,she gets paranoid or depressed
 
Naona haujanielewa...hatujaolewa na elimu kubwa...ni degree moja moja tu...nyingine tumezipatia kwa waume zetu...multitask lol...

Kuna dada yangu tena yeye aliolewa akiwa chuo...unafanya mchezo ...hakuna kuchezea shilingi chooni...jamaa aki 'pop the question' wazazi watajiju na vigezo vyao..


Wanaume wa shoka hao wanaojitambua, elimu yenu hawakuiona kikwazo cha wao kufikia maamuzi ya kufunga pingu za maisha. Hongera zenu banaaa na wanao (kama una wa kike) uwaambie hivyo hivyo wasome mpaka Phd wanaume wapo tu.
 
dah, kwa mtizamo.wangu, hivyo vitu ulivyovitaja bado sijaona kama vinafanya nisimhitaji zombie.

Anyway, mitazamo tofauti, na hivyo naona ni.basic needs tu.

 
Kwi kwi kwi kwi kwi lol!!!! si unawajibu tu sijapata mchumba...Ndio hapo watakwambia kuna mtoto wa fulani katulia yule tunawajua wazazi wake, tuongee na wazazi wake ili tuwaunganishe!?

ni kweli buh too much of anything is always harmful..haohao wazazi na ndugu wanaokukazania usome uache mapenzi ndo watakaokuja kukunyima raha na unaolewa lini?so u better learn to multitask hahah
 
 
Last edited by a moderator:
Kwani degree moja ni ndogo nyumba kubwa!? Labda bila Baba kutia mkazo wa elimu basi msingepata hayo mafanikio, degree moja ni kubwa sana NK usiishushe hadhi si unajiona ulipo sasa, bila degree moja ungekuwa hapo Mkuu?

Naona haujanielewa...hatujaolewa na elimu kubwa...ni degree moja moja tu...nyingine tumezipatia kwa waume zetu...multitask lol...
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wa shoka hao wanaojitambua, elimu yenu hawakuiona kikwazo cha wao kufikia maamuzi ya kufunga pingu za maisha. Hongera zenu banaaa na wanao (kama una wa kike) uwaambie hivyo hivyo wasome mpaka Phd wanaume wapo tu.
weeeer acha kudanganya umma,wanaume kweli wachache sana,wengi wako intimidated na alichonacho mwanamke,changanya bi dada nae awe na nyodoo afu heshma F,mara me miss independent I don't need a man hehehe ndoa mtu ataisikia kwa wenzake
 
 
Last edited by a moderator:
Umeona eehhh...it matters kwa nini umeolewa...kama uliolewa ili usaidiwe ugumu wa maisha...ukizifuma lazima ulete dharau...


dah, kwa mtizamo.wangu, hivyo vitu ulivyovitaja bado sijaona kama vinafanya nisimhitaji zombie.

Anyway, mitazamo tofauti, na hivyo naona ni.basic needs tu.
 
what is power?


I think you are talking about 'independence' and not power.
 
dah, kwa mtizamo.wangu, hivyo vitu ulivyovitaja bado sijaona kama vinafanya nisimhitaji zombie.

Anyway, mitazamo tofauti, na hivyo naona ni.basic needs tu.
I get you,mi pia hata niweze kujinunulia yatch mume na baba watoto ntamuhitaji kwa kweli,ila as you know knowadays kuna ka trend wadada baadhi hawataki kuolewa wanataka watoto tu kisa wana uwezo kifedha na kielimu
 
mie ata sielewi manake sina data za kutosha ku validate

Hii Kimarekani zaidi, kibongobongo, especially kama hupo katika nyanja za matawi ya juu, mambo anayoongelea yanaweza kuwa si relevant kwa sana.
 
Lakini hakuna anayewaamini kama kweli ndoa hawazitaki au hawana jinsi...mfano hao kwenye hiyo clip....

Na kama ni kweli wanafanya purposely basi watakuwa selfish kwani hao watoto hawajawauliza kama wanataka kuzaliwa na kulelewa katika hayo mazingira...

I get you,mi pia hata niweze kujinunulia yatch mume na baba watoto ntamuhitaji kwa kweli,ila as you know knowadays kuna ka trend wadada baadhi hawataki kuolewa wanataka watoto tu kisa wana uwezo kifedha na kielimu
 
Reactions: BAK
lol!!! wala si udanganyi umma, njembas nyingine zikisikia huyu bidada kamaliza chuo kikuu basi zinasepa kimya kimya lakini katika baadhi ya makabila nchini hiki ni kigezo kimojawapo cha kumuona kama anafaa kuwa mke na sasa kimeanza kuenea katika jamii. Hata hapa jamvini wakaka watafuta wachumba wengi wao katika vigezo wavitakavyo na hicho cha kuwa na degree kwa hiyo taratibu wanaume walio wengi katika jamii yetu wameanza kutambua umuhimu wa elimu ya juu.

weeeer acha kudanganya umma,wanaume kweli wachache sana,wengi wako intimidated na alichonacho mwanamke,changanya bi dada nae awe na nyodoo afu heshma F,mara me miss independent I don't need a man hehehe ndoa mtu ataisikia kwa wenzake
 

ni kweli ila hadi PHD jmn..??i wuldnt advise my daughter that.anyway watu tumekua tofauti,ukizaliwa nyumba baba ba mama wote.ni phd au ma prof si sawa na familia wazazi wana degree tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…