Why should I get married?

Why should I get married?

Mimi nimeshaoa. Nilioa kwa sababu enzi yetu,kijana akishafika umri wa kujitegemea, wazee wetu walikuwa wanatafuta binti mwenye maadili kutoka familia nzuri, na unaozeshwa.

Bahati nzuri kwetu ni kuwa, nyakati zetu vishawishi havikuwa vingi kama mnavyokumbana navyo vijana wa sasa. Na maadili tulikuwa nayo. Tumedumu ndoani kwa miaka 35 sasa.

Kumbukumbu zangu zinaniambia hauko sahihi. Umesahau kidogo miaka mkuu.
 
Oa/olewa ili uondoe upweke. Kuna wakati ndugu,jamaa na marafiki wanakuwa busy na mambo yao kiasi kwamba hata kama ungekuwa mgonjwa,hawawezi kuwa nawe muda wote lakini mwenza daima atakuwa nawe akikushauri na kukufariji usiku na mchana! Nakushauri uoe/uolewe upweke unatesa kuliko unavyoweza kudhani.
 
Wanogeshaji ni wengi lakini bado sijapata urge ya ndoa,naelewa ni kitu muhimu sana kama nilivyosema hapo mwanzo....lakini kama hakuna upendo ni kazi bure
Ok..Mr perfect is somewhere waiting...hopefully!Goodluck!
 
Back
Top Bottom