AgentX
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 1,651
- 1,700
Mimi nimeshaoa. Nilioa kwa sababu enzi yetu,kijana akishafika umri wa kujitegemea, wazee wetu walikuwa wanatafuta binti mwenye maadili kutoka familia nzuri, na unaozeshwa.
Bahati nzuri kwetu ni kuwa, nyakati zetu vishawishi havikuwa vingi kama mnavyokumbana navyo vijana wa sasa. Na maadili tulikuwa nayo. Tumedumu ndoani kwa miaka 35 sasa.