Why should I get married?

Why should I get married?

Marriage ni kama crush tu...You meet a person,with all the necessary ingredients(as per your standards),by accident in most cases..and above all you find a striking balance in everything between you(you and him)...with the perfect chemistry!Mnajikuta tu hamchokani,everyone enjoy the other person company,always when you are together,you feel out-of-this world literary-very happy,you find that he shares the same hobbies,same world views the same life philosophy... and then BANG!mnajikuta tu mipango ya ndoa inaanza!

I do agree with you hundred percent inakuja automatic kabisa hasa mkishare common interests.
 
Ukinogewa utaomba umiliki wa hiyo Joystick haraka sana...labda bado hujampata mnogeshaji

Wanogeshaji ni wengi lakini bado sijapata urge ya ndoa,naelewa ni kitu muhimu sana kama nilivyosema hapo mwanzo....lakini kama hakuna upendo ni kazi bure
 
Mimi nimeshaoa. Nilioa kwa sababu enzi yetu,kijana akishafika umri wa kujitegemea, wazee wetu walikuwa wanatafuta binti mwenye maadili kutoka familia nzuri, na unaozeshwa.

Bahati nzuri kwetu ni kuwa, nyakati zetu vishawishi havikuwa vingi kama mnavyokumbana navyo vijana wa sasa. Na maadili tulikuwa nayo. Tumedumu ndoani kwa miaka 35 sasa.

Hivi kumbe mkuu una Ages za kutosha???
 
Natamani sana kuoa ili niwe na familia kwenye ndoa,,na nikisha oa nataman wanawake wote niwaone wa kawaida tu hata km niwazur kias gan ili nisiharbu ndoa yangu,,siunajua ukiwa kijana kila mwanamke anakuvutia kwa namna yake

Sasa inabidi umwombe Mwenyenzi Mungu akupe mke mwenye sifa unazotaka ikiwapo Hofu ya Mungu.
 
You old man, and what exactly do you want from her baby sis? Hope you haven't forgotten about this granny's games. .. don't try to fight your master at her own game.
Hahaha. I'm only asking for our grandson. Why do you like to embarrass me woman, all these years and you still doubt me?
 
Hahaha. I'm only asking for our grandson. Why do you like to embarrass me woman, all these years and you still doubt me?

No wonder you are a man...putting blames on me eeh. Who embarrass who? You just don't know how much you have humiliated me in front of all these folks by chasing after small girls.... I'll be waiting for you
 
Sijaolewa na ni bado saaaana! Ila mda ukifika ntakwambia.
 
No wonder you are a man...putting blames on me eeh. Who embarrass who? You just don't know how much you have humiliated me in front of all these folks by chasing after small girls.... I'll be waiting for you
You're too old to be jealousy, woman. What business do you have in these whatever networks anyway? Aren't these things supposed to be for young girls and men?
 
Back
Top Bottom