Why me!!

Why me!!

Kwa sababu wewe amesha kuona ni mjinga sana.
 
kila cku mi ndo namtafuta kwenye simu nisipomtafuta hata mwezi unaisha ukiuliza anasema yuko busy.'why me'
 
Mnapanga date,unafika eneo la tukio anakutumia sms nmepata dharura tufanye siku nyngine..why me!
 
kwenye whatsapp anaonekana last seen 2 minutes ago lakini ukimtumia text anakujibu after 1 hour. why me?

m.e.m.a
 
-Unajiskia kuongea na mtu unayemjali na kumpenda katikati ya busy and tight schedule yako kwa kumpigia kisha inapokelewa..."kata kwanza, nitakupigia", "ngoja ngoja kwanza", "nipigie baadae", au haipokelewi na unakuja ujumbe mfupi "piga baadae". Mmmh kwa hiyo mimi tu ndio sipo busy! Why me?
-Unaongea na umpendaye na kumjali anakuambia mipango yake mingi, na wewe unamuambia yako. Baada ya muda unaulizia jambo moja labda 'interview' imeendaje..unakumbana na swali..."interview gani"?. Baada ya kukumbushia ndio anajibu "k, mambo mengi xana si unajua"! Kwa hiyo kichwa changu ndio hakina mambo mengi hadi kinakumbuka yako tu!!? Mmmh why me?
- Ni birthday yake, unamkumbuka na wishes kibao unampa. Imefika yako ikatawaliwa na kimya kikuu. Ukiuliza jibu ni "jamani mambo mengi hata sikukumbuka kabisaa, i hope ulienjoy". Mmmh kwa hiyo kichwa changu ni diary ya kwako tu!!! Mmmh why me?
-Unakaa na namba ya mtu aliyokupa mwenyewe, kila unapompigia au kumtumia ujumbe..swali ni "we nani"? Unajieleza kisha.."ahaa nilibadilisha simu, niliibiwa simu, namba ilileta shida..nimepoteza majina yote". Kwa hiyo mimi ni phone book! Mmmh why me?
-Phonebook yako ina watu 500-2000+, lakini unawasiliana na watu watatu tu mwaka mzima.!! Mmmh why me?

Hivi ulishakutana na mojawapo ya hayo? Hebu jiulize leo...WHY ME?

Dunia ina watu bilion 6, we unahangaika na huyo 1? Mlizaliwa tumbo moja?
 
Hahahahahaha ama kweli dunani kuna mengi sawa sawa na bahari
 
anakuomba pesa unamtumia akiipata hakupigii,ukimpigia ukimuuliza anajibu nimeipata hata asante hasemi WHY ME?
 
kila nikikupigia wauliza wewe nani .... mara 3 zinatosha, au baadae kidogo hiyo imetoka.....
 
Ananitumia message, najibu..anatuma nyingine..najibu,.anatuma nyingine..mwisho naamua kununua kifurushi cha message 150 ili nichat vizuri...kisha anatuma message.."nina usingizi nataka nilale, baadae nitakushtua".. Why me??
 
kwenye whatsapp anaonekana last seen 2 minutes ago lakini ukimtumia text anakujibu after 1 hour. why me?

m.e.m.a
Sista mbona unanisema sasa? Mmmh why me?
 
Last edited by a moderator:
Unajiendekeza..why you? Chukua hatua.
 
[COLOR=#800000 said:
- Ni birthday yake, unamkumbuka na wishes kibao unampa. Imefika yako ikatawaliwa na kimya kikuu. Ukiuliza jibu ni "jamani mambo mengi hata sikukumbuka kabisaa, i hope ulienjoy". Mmmh kwa hiyo kichwa changu ni diary ya kwako tu!!! Mmmh why me?[/COLOR]
hapo ndo imeniacha hoi....
je hii...unamnunulia mpenzi wako expensive lunch au dinner plus drinks or even an expensive phone wala hakushukuru ki vileee but mduanzi amtumie mda wa maongezi(credits) hata wa elfu tu apate kuchati na washikaji via smartphone atashukuru mpaka maneno kama Mungu akubariki jamani...ulijuaje jamani...na si ajabu akugongee! why me!

...We mpe demu wako hela ya tax kila siku to-ing and fro-ing wala hakuwazi kiivyo but konda wa dala dala au mtu ampe lift tu atashukuriwa mpaka baasi na ikiwezekana kyupi ivuliwe! why me!
 
-Unajiskia kuongea na mtu unayemjali na kumpenda katikati ya busy and tight schedule yako kwa kumpigia kisha inapokelewa..."kata kwanza, nitakupigia", "ngoja ngoja kwanza", "nipigie baadae", au haipokelewi na unakuja ujumbe mfupi "piga baadae". Mmmh kwa hiyo mimi tu ndio sipo busy! Why me?
-Unaongea na umpendaye na kumjali anakuambia mipango yake mingi, na wewe unamuambia yako. Baada ya muda unaulizia jambo moja labda 'interview' imeendaje..unakumbana na swali..."interview gani"?. Baada ya kukumbushia ndio anajibu "k, mambo mengi xana si unajua"! Kwa hiyo kichwa changu ndio hakina mambo mengi hadi kinakumbuka yako tu!!? Mmmh why me?
- Ni birthday yake, unamkumbuka na wishes kibao unampa. Imefika yako ikatawaliwa na kimya kikuu. Ukiuliza jibu ni "jamani mambo mengi hata sikukumbuka kabisaa, i hope ulienjoy". Mmmh kwa hiyo kichwa changu ni diary ya kwako tu!!! Mmmh why me?
-Unakaa na namba ya mtu aliyokupa mwenyewe, kila unapompigia au kumtumia ujumbe..swali ni "we nani"? Unajieleza kisha.."ahaa nilibadilisha simu, niliibiwa simu, namba ilileta shida..nimepoteza majina yote". Kwa hiyo mimi ni phone book! Mmmh why me?
-Phonebook yako ina watu 500-2000+, lakini unawasiliana na watu watatu tu mwaka mzima.!! Mmmh why me?

Hivi ulishakutana na mojawapo ya hayo? Hebu jiulize leo...WHY ME?

Hayatuhusu kabisa. This is absolutely private business. Nendeni mkayamalize huko na huyo mpenzi wako. Tumechoka kusoma mada zisizo na kichwa wala miguu. Acheni kushusha heshima ya JF!!

 
Back
Top Bottom